Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,226
- 27,063
We gileSi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na bado, watatawaza na jiki humo ndani chezea makungwi wa kisasa√Mume Nguo zake zinafuliwa kwa SABUNI za kuogea.
√Maji ya kuoga Mume ni ya chupa
√Glass ya divai ya baba ni ya kibuyu
yaani hii nyumba full vibweka.
Ukiingia ndani ni maua ridi toka sebuleni hadi chooni
Makungwi wa insta na fb miyeyusho sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na bado, watatawaza na jiki humo ndani chezea makungwi wa kisasa
sijapiga chabo Mzee.Vip kweny kuchambua? Anachambua kama karanga??
kwa hela IPI waliyonayo?Huyo mwanaume atakuwa anatawadhwa kwa maji ya imported kutoka kwenye maporomoko ya mlima ya Everest