Binti kabakwa kapata ujauzito, je tumuadhibu mara mbili?

Nairobian

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
873
2,277
Binti wa Form 3 alibakwa mwaka 2008 shule moja wilayani Chato. Huyu Binti aliumia sana kisaikolojia kwa lile tendo la kubakwa. Ingawa alikuwa na uwezo mkubwa darasni, ilibidi ahache shule, kutokana na familia yake kuwa na uwezo mdogo. Lakini kwa bahati nzuri, Shangazi yake ambaye ni mwalimu, aliamua kumfadhili huyu Binti ili aendeleze ndoto yake ya kuwa daktari.

Binti alitafutiwa shule tofauti jijini Mwanza mwaka uliofuatia huku akimwacha nyuma mtoto mchanga na mama yake mzazi, na kwa bahati nzuri binti alijitahidi sana akaja kufaulu vizuri sana kidato cha 4 mwaka 2010, Alipata Division 1. Form 6 pia alipata Division 1. Na Kujiunga na chuo kikuu Muhimbili. Tunavyoongea yule Binti alishamaliza degree yake ya MD, na sasa hivi yuko nchini Norway anasoma PhD ya brain Surgery.

Swali fikirishi, huyu binti alipata adhabu kubwa sana ya kubakwa. Matokeo yake kapambana na kufikia malengo yake ingawa jamii pia ilimuadhibu kwa kubakwa. Je tunakuwa taifa la aina gani tunawaadhibu mabinti wa aina hii, badala ya kuwafariji?

Mbaya zaidi hadi watetezi (Wabunge) wanashabikia waliobakwa kufukuzwa shule?
 
Serikali imesema inawasaidia kwa kuwajengea shule zao watoto wazazi. Kwani kusoma lazima arudi shule ya awali?
 
Binti wa Form 3 alibakwa mwaka 2008 shule moja wilayani Chato. Huyu Binti aliumia sana kisaikolojia kwa lile tendo la kubakwa. Ingawa alikuwa na uwezo mkubwa darasni, ilibidi ahache shule, kutokana na familia yake kuwa na uwezo mdogo. Lakini kwa bahati nzuri, Shangazi yake ambaye ni mwalimu, aliamua kumfadhili huyu Binti ili aendeleze ndoto yake ya kuwa daktari.

Binti alitafutiwa shule tofauti jijini Mwanza mwaka uliofuatia huku akimwacha nyuma mtoto mchanga na mama yake mzazi, na kwa bahati nzuri binti alijitahidi sana akaja kufaulu vizuri sana kidato cha 4 mwaka 2010, Alipata Division 1. Form 6 pia alipata Division 1. Na Kujiunga na chuo kikuu Muhimbili. Tunavyoongea yule Binti alishamaliza degree yake ya MD, na sasa hivi yuko nchini Norway anasoma PhD ya brain Surgery.

Swali fikirishi, huyu binti alipata adhabu kubwa sana ya kubakwa. Matokeo yake kapambana na kufikia malengo yake ingawa jamii pia ilimuadhibu kwa kubakwa. Je tunakuwa taifa la aina gani tunawaadhibu mabinti wa aina hii, badala ya kuwafariji?

Mbaya zaidi hadi watetezi (Wabunge) wanashabikia waliobakwa kufukuzwa shule?

habari yako imaweza ikawa inania nzuri ya kufikisha ujumbe ila kwa hiyo time frame inatia shaka
 
K

Kwa mila na silka zetu, huyo ameshakuwa mama. Kurudi kwenye shule za kawaida haijawahi na itaendelea kutokuwa busara
kuendelea na elimu ya kawaida. Utaratibu uliopo naona ni mzuri sana kwani akitaka kuendelea na elimu kama ya msingi,sekondary na high school bado inapatikana kupitia EWW.
kuna wengi yaliwahi kujikuta kwenye hali hiyo na wakaendelea na elimu kwa kutumia mfumo uliokuwepo na wamefanikiwa ki elimu na maisha yao yameendelea kuwa mazuri.
 
Majibu ya hoja hii huwa mepesi kabisa kwamba - kwani waliobakwa kama hivi wanafika hata 10? wengi wao ni viherehere vyao wakanyonyeshe watoto wao huko huko darasani hatuwataki.
 
Ndani ya hilo bunge na kati ya hao wabunge kuna ambao
Walipata mimba na wakaweza kuendelea na masomo yao BY THEN
Kuna ambao wana ndugu walipata mimba na wanafanya NAMNA na leo hii hao ndugu zao ni akina fulani
Ndani ya hilo bunge na kati ya hao kuna ambao wana vituo vya kutolea mimba
Ndani ya hilo bunge na kati ya hao wabunge kuna ambao wana kashfa ya kuwaweka kinyumba wanafunzi na wengine kuzaa nao
Binti wa Form 3 alibakwa mwaka 2008 shule moja wilayani Chato. Huyu Binti aliumia sana kisaikolojia kwa lile tendo la kubakwa. Ingawa alikuwa na uwezo mkubwa darasni, ilibidi ahache shule, kutokana na familia yake kuwa na uwezo mdogo. Lakini kwa bahati nzuri, Shangazi yake ambaye ni mwalimu, aliamua kumfadhili huyu Binti ili aendeleze ndoto yake ya kuwa daktari.

Binti alitafutiwa shule tofauti jijini Mwanza mwaka uliofuatia huku akimwacha nyuma mtoto mchanga na mama yake mzazi, na kwa bahati nzuri binti alijitahidi sana akaja kufaulu vizuri sana kidato cha 4 mwaka 2010, Alipata Division 1. Form 6 pia alipata Division 1. Na Kujiunga na chuo kikuu Muhimbili. Tunavyoongea yule Binti alishamaliza degree yake ya MD, na sasa hivi yuko nchini Norway anasoma PhD ya brain Surgery.

Swali fikirishi, huyu binti alipata adhabu kubwa sana ya kubakwa. Matokeo yake kapambana na kufikia malengo yake ingawa jamii pia ilimuadhibu kwa kubakwa. Je tunakuwa taifa la aina gani tunawaadhibu mabinti wa aina hii, badala ya kuwafariji?

Mbaya zaidi hadi watetezi (Wabunge) wanashabikia waliobakwa kufukuzwa shule?

Jr
 
Za kubakwa ni tofauti na mimba za wale viherehere kwa vile viherehere hata upstairs ni shida. Vielelezo kwenu nyie wanywaji ni pamoja na baadhi ya wale mnakumbana nao kama wahudumu kwenye baa. Tough world huh?
They cannot and should not have it both ways. Bila maadili mema na kuchora mstari wa ukomo viherehere watazidi mno, na bastards (oops, yes, illegitimate children) pia kila pahala. A nationfull of bastards for whose benefit. Tena wenye malezi ya hovyo kupindukia.
 
Nduuu umeeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom