Binti huyu ameniharibia weekend yangu!

Binti huyu ameniharibia weekend yangu!

Sikia siku nyingine usikubali demu anaekutanguliza gesti itakula kwako afterall Leo umepata nyongeza ya ujuzi.
 
Huu ni ushamba sasa, na sio kitu kingine. Hivi kweli ni jambo la ajabu mwanamme kuzungumza na mwanamke leo na kugegeda leo leo!?

Hapa duniani tumetofautiana. Kuna watu wanapenda complications na wengine hawapendi.

Hivyo sio ajabu haswa kwa hapa DSM kuonana leo na kupeana uroda leo leo. Sijui wadada wa humu JF mpo too local or what.

I reserve my comments
 

Hongera kwa machale,
Ungekuwa unameza diclopar muda huu.

Kamanda kumbe wewe ni mtaalamu,diclopar ya nin wakat angekua anavaa always tu ili asiaibike mbele ya watu na ndo angekua tayar mana jamaa wangemwagia ndan na kila muda ungekua unahisi panawasha tu kwa hiyo anahitaji kukunwa
 
Hivi seriously haya mambo yanatokeaga? How do you get laid just like that?

God must be so ashamed of us I swear. If we can just continue ----ing around anyhow then even beasts are better than us.

So sad.
 
Hizi habari nyingine ngumu kuamini,Timu weka picha inaweza kutusaidia
 
aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!

yani kuanzia leo nimekoma kutangulia gesti!

next time tunasepa hand to hand, tena sim zinazimwa kabla, room number huambiwi kulaleki mpaka unafika ndani!

mkuu ungeliwa kabang kulaleki...
 
Subira,,, yani binadamu tungejifunza kuwa na subira shetani asingepata nafasi,, unamuona mdada unampenda unaonyesha nia yako akigoma,, let it go,, subiriii..ukilazimisha lazima ukumbane na balaa..hongera mkuu that was very close
 
Hiyo ni ishara kwamba uache uzinzi siku zako za malipo ya dhambi zipo karibu.
 
Jana jioni natoka kazini nikakutana na binti mmoja ambaye kiumbo alinivutia!

Mara baada ya salaam nilimwomba tuzungumze japo 5minutes,

Kwanza alikataa akasema ana haraka anawahi kwenda kupika ametoka sokoni kununua mboga,

Lakini baada ya kumbembeleza sana alikubali kunisikiliza nami baada ya kujitambulisha tuliongea mengi naye akanieleza sio mwenyeji wa hapa ila alikuwa masomoni ndo amehitimu chuo na amekuja kumsalimia mama yake mkubwa.

Nilimwomba tuwe wapenzi akasema atanifikiria,

Tulipeana contact then tukaagana.

Usiku nkampigia hakupokea nkajua amesinzia nikamtumia sms "good knite"

Leo asubuhi akanibeep nkampigia akasema amepata safari ya ghafla anataraji kurudi kwao Shinyanga hivyo nikamwomba ikiwezekana tuonane kabla hajasafiri akasema leo mchana atakuwa free,

kwa kua kwangu ni mbali na kwao alishauri nitafute guest mitaa ya karibu ili asichelewe kurudi nyumbani jioni.

Saa 8 unusu nshalipia chumba na kumuelekeza nilipo akasema anamalizia kuoga anakuja,

saa 9 nampigia simu hapokei baadaye anapokea anasita kuongea kisha anakata na kunitumia sms "honey niko njiani nakuja,

Je uko chumba no ngapi?"
Nikamjibu "niko no 9"
Nkiwa chumbani nikapata wazo la kwenda duka la hapo jirani kununua condom,

Ile natoka dukani namwona demu anashuka kwenye tax akiwa na wanaume wanne!

Nilisita kidogo na hawakuniona,demu alitangulia halafu wale jamaa wakasimama nje kama wanapanga jambo flani kisha wakaingia ndani!
Demu akanipigia na kusema"baby nimefika chumbani hakuna mtu naona kuna vinywaji tu! Uko wapi?"
nikamjibu "niko toilet nakuja"

Nimejaribu kuchungulia naona wale jamaa wamesimama koridoni kama kuna mtu wanamsubiri!

Kwa bahati nzuri sikuja na usafiri wangu hivyo nlizima simu nikaondoka kimyakimya nkachukua tex mpaka home!
Sijui nini kiliendelea huko lakini sa hivi nawasha simu nikakuta ujumbe huu
"I'm sorry baby,sikuwa na nia mbaya ila wakati nataka kuja mme wangu alinikuta na kugundua nawasiliana na wewe,amenipiga sana na kulazimisha nimlete gesti ulipo ndo tukaja ila nashukuru Mungu umenusurika alikodi watu watatu!
I love u,
Mme wangu akisafiri ntakutafuta"

Wana MMU Wenzangu najiuliza huyu alikuwa na maana gani aliponiambia hajaolewa ndo kamaliza chuo na anaishi kwa mamkubwa!
Namshukuru Mungu kuninusuru na balaa hili mpaka sasa nimelala sina hamu na hawa mabinti!

doh mkuu umenusurika "WANGEKUTOBOA UGALI" hao jamaa na kesho ungejikuta kwenye magazeti ya udaku (sijui OFM)
 
ha ha mkuu umeponea tundu la sindano kuliwa kabang, sijui angekuomba msamaha gani pole sana mkuu.
 
kaka wewe ni kicheche...nia yako si kupenda ni kukidhi matamanio yako tu....Jaribu kufikiri kwa kutumia kichwa cha juu sio cha chini...Kaka ukidiwa ata Vaseline inaweza kuokoa maisha yako...wengine majini sio watu....
 
babu unataka kunichosha eeh? unaona sawa kuwa kakutana na binti njiani, kapewa namba na next appointment anaenda gesti hausi kumngojea mdada na condom? kama kugonga ndio ujanja basi wa kiume basi hajakosea ila matapeli na walivyojaa mjini akae mguu sawa tu.
Kwani huyu dogo kakosea nini?

Na hata kama kakosea, adhabu aliyoandaliwa inalingana na kosa lake??
 
Stahili yako!!!
Bint unakutana nae Leo then kesho unaenda kumngoja guest house na condom unaandaa!!!
Acha tamaa!
 
Back
Top Bottom