Hawa mi ndo nawataka,hawa....ndo maana siachi kutembea na glock yangu
We kweli inabidi umshukuru Mungu, mana ilibaki kidogo tu utatuliwe marinda.
mkuu hayo ndio mambo ya dsm..hakuna kusumbuana.Mmmh, ck nyingine uwe makini na inakuwaje mtongozano unakuwa rhc hivyo and within short time tyr quest. Unamwona mtu mara moja ila unamchunguza zaid ya kipind flan.
kigogo vp tena kigogo..glock ndio nin? au ndio kigogoHawa mi ndo nawataka,hawa....ndo maana siachi kutembea na glock yangu
Ungekuwa unaugulia sasa hivi.
Hivi siku hizi hiyo ndio adhabu iliyo nyepesi kuliko zote?
Maana naona baadhi ya watu wameitaja sana na wewe ukiwemo.
Binadamu hujifunza kutokana na makosa hivyo nami nmejifunza kitu!