we unauhusiano gani naye?
Hapana mkuu Matola ni binti wa mtaani kwetu. Kutumia internet anajua. Ingekuwa mimi nahitaji msaada ningeomba direct hapa jukwaani. Na kama kupima ningeenda kupima. Siogopi majibu wala. Najua kuna majibu ya aina 2.
we unauhusiano gani naye?
Si uncle tu hata wazazi wengine wako hivyo.
Asante nitamfikishia ujumbe.ujaman hivi haya mambo ya kunyosheana vidole yataisha lini???mpe pole mwambie ale hao ndo binadam atakufa njaa
Sheria ya HIV& VVU inakataza mtu kufanyiwa vipimo bila ridhaa yake, so wamshauri ila wasimlazimishe km hataki wamuache. Asante. Nitatumia hiki kifungu kumshauri na uncle wake.
apo bold ni 3, +ve, -ve na undetected
Undetected ndo inakuaje mkuu?