Binti Anayedai kubakwa na Kapuya


Duh! Hii ni hatari!
 
The next PM anazua mengi.Nchi hii ina laana. Jana kuna gazeti la Udaku moja linasema 'rapa' mmoja wa Akudo amekamatwa Uchinani, now all the dots are connected!
 
Mtahangaika Sana nyie mabakaji ya CCM. Kujisafisha kwa kutumia kinyesi mnabaki mnanuka zaidi. Tunasubiri Mama Salma Kikwete akatoe ushahidi mahakamani maana huyo binti ni wa tatu sasa dhidi ya Kapuya..

Wakwanza ni yule aliyebakwa na kuambukizwa ukimwi akiwa na miaka 14 anasoma shule ya sekondari Turiani. WA pili ni yule aliyeletwa hapa na like zee linalokula na kulala bure Li Ze Mutuz William Malecela na wa tatu ni huyu Wako. Kapuya hakwepi jela mwaka huu. CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Binadamu wakitanzania hawapendani! Hawaaminiani,wanasingiziana,wasokubali ukweli,wanafurahi kuaibishana.
ALL IN ALL MUNGU NI MWEMA NA UKWELI UTAJITENGA NA UONGO SIKU TUU isiyo na Jina.
As sina ushahidi wa lolote,najisikia kusema hayo tuu kuliko KUTENDA DHAMBI
 

Baada ya utafiti wako huo fake nani anaekulipa! Nchi hii ina mabwege wengi.
 
1. Wajihi hautoshi mkuu.
2. Cheti cha kuzaliwa mkuu ndio uthibitisho wa umri
2. Mlikaa na mtoto wa form six nyumbani kwenu kwa ruhusa ya nani,shuleni walijua,ustawi wa jamii au mjumbe wa nyumba kumi,je kama mlim-hijack nani anajua!!!!!!!!??????
3. Chet cha ndoa cha ndoa kilikuja hapo mahakamani?????
4. Unahalalisha rafiki yako alilala naye ili ku set precedence kwamba????!!!!!Umetangulia ila mwendo wako mdogo achia site mkuu!!!!!!
5. Umesema vituo vingi anajulikana,kwa nini unashauri apelekwe central wakati aliripoti Oysterbay????!!!!
6. "Kwa kuwa binti mwenyewe ni huyu"..yupi sasa Amina au Hamida??!!!!!!
7. "Vyombo vya haki za binadamu visaidie baada ya ukweli kujulikana"...kwa nini visiwe sehemu ya mchakato wa kutafuta ukweli huo???!!!


My take; Hili limeparaganyika na sasa mnajitokeza watu mnaomjua huyu binti vizuri,lakini pamoja na kumjua ni ajabu kuwa hakuna sehemu anaonekana kusaidiwa nanyi kwa uyatima wake,hapo kigamboni mlikaa naye muda gani kwa lengo lipi????!!Siku hizo alikuwa likizo au?????Mnakaaje na mwanafunzi wa Songea Kigamboni?????!!!

Rafiki yako alilala na.mtu aliyejitambulisha kama mwananfunzi,nyumbani kwa mama yake,huyu mdada akiwa kama "refuge" despite the age nani anahakikisha kuwa dada ali consent???!!!Hata kama alikuwa ni mke wa mtu na ana mtoto????!!!!!

Bado pabichi hapa!!!!!
 
Arushaone, naomba unielewe. Simtetei Kapuya ila nakwambia huyu ni hatari. Nikwakuwa mimi nawewehatujuani lakini binti huyu hatari. Wewe subiri uone mwisho wake.

Una akili za Lemutuz wewe
 
Kwa akili yake Central Polisi na Oysterbay anadnani ni mbingu na ardhi?

 

Nyambafu mkubwa ww!!
 

Pumbaf kabisa..... mbakaji mkubwa wewe. Eti nimefanya "utafiti" nimeulizia jina lake... my foot..!
 

Wewe umejuaje ndio huyo wa Kapuya?mmemtafuta changu mitaani ili mje mmalize soo,hatudanganyiki!mtafanikiwa kuzima kesi Polisi lakin ukweli utasimama
 
Le mutuz/william..kaja hapa anasema amefanya utafiti na binti anaitwa hamida...wewe unasema anaitwa amina!!! Sasa tumwamini nani? Hakuna mkweli hapo ila tu mnajaribu kumsafisha mbunge wenu!
Tapeli huwa hatumii jina moja, hata Shigongo naye ametapeliwa na binti huyo huyo akitumia majina tofauti
 

wacha wee...
na anawaingiaje hawa wakubwa mpk anapata number zao? mh..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…