Binti anatafuta pakufanyia field

Queen___

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
214
221
Habari wanaJF..
Naandika uzi huu kwa niaba ya binti ambaye anatafuta ofisi ya kufanyia field ya reception and front operation.

Wasifu wake
-anajali muda na wajibu wake katika kazi
-anaonhea na kuandika kwa ufasaha lugha ya kiswahili na kingereza
-anaishi dar es salaam

Naomba kwa wenye connection na hotels/lodge na organisation mbalimbali wa msaidie.

Asante..
-Queen
 
Back
Top Bottom