and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,218
- 39,698
Hivi waarabu mnawajua au mnawasikia?
watu wa bara wengi mkiopoa hata mnyaturu mnakuja kusema mmepata binti wa kiarabu...
tembea uone
nataka nimmwage lakini namwachaje aisee!
Exactly !!hao watu wa asia ni hatari, mi nna kikaka changu cha bangladeshi kinavyonitishaga ukimpa mtu mi ntamfanya hamna, ukitongozwa tu kinakuambia babyy your chating with somebody i dont like stop please. :sly:😀:what:
Huwa huwashwi pilipili?hao watu wa asia ni hatari, mi nna kikaka changu cha bangladeshi kinavyonitishaga ukimpa mtu mi ntamfanya hamna, ukitongozwa tu kinakuambia babyy your chating with somebody i dont like stop please. :sly:😀:what:
Huwa huwashwi pilipili?