wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,931
- 4,550
Binti Mmoja Mwenye Umri Usiopungua Miaka 20,amekutwa Amekufa Ktk Nyumba Moja Ya Kulala Wageni Iliyopo Mjini Morogoro.
Mwili Wa Binti Huyo Uligunduliwa Na Wahudumu Wa Gest Hiyo Wakati Wakifanya Usafi.Ulikutwa Ukiwa Uchi Wa Mnyama.
Taarifa Zinasema Kuwa Binti Huyo Aliingia Ktk Gest Akiwa Na Mwanaume Ambaye Hadi Hivi Sasa Hajajulikana ambaye Inasemekana Alitoweka Usiku Wa Tukio.