SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
hapo palikuwa na Mziki mnene
Hivi hawakuandika hapo Gesti ,?
hawakuacha hata na namba ya simu?
suspect wa kwanza ni huyo Mhudumu
Huyo mwalimu alikuwa anapotosha, angekuwa sahihi kama angesema umwombe shetani kabla ya kufanya hayo mambo yako ya uzinzi, kwa kuwa kwenye vitabu vya dini imeandikwa kuwa kufanya mapenzi na mwanamke ambaye siyo mke wako ni kuzini, na jambo hilo ni dhambi na halikubaliki kabisa kwa Mungu.Nimemkumbuka mwalimu wangu aliyekuwa anatufundisha kumuomba Mungu kabla ya kuanza kufanya mapenzi, maana sio kitu kidogo
vichwa vyangu vimegoma kuamini hii story
Pich inapunguza uongo[/QUOT
Hahahaha una vichwa vingapi mkuu.
Vichwa sita,1 chenye ubongo+4 vya vidole gumba+1 cha kugegedea.
Mpendwa Nif !! hebu stahi, Looh fedheha ya mwenzio unatakaianika kama sherehe za harusi ?!!Weka picha,habari bila picha hainogi.
vichwa vyangu vimegoma kuamini hii story
Hahahaha una vichwa vingapi mkuu.