mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
Possibly,kwasababu wahudumu wanadai before that walisikia kelele kisha zikatulia,na mdomoni kuna blood strains!!Arest in peace!Usikute lijamaa lilimuua!!
Dah!Kama ndo hivyo inabidi wadada wawe waangalifu na watu wanaokubali kwenda nao sehemu kama hizo!Possibly,kwasababu wahudumu wanadai before that walisikia kelele kisha zikatulia,na mdomoni kuna blood strains!!
Possibly,kwasababu wahudumu wanadai before that walisikia kelele kisha zikatulia,na mdomoni kuna blood strains!!
lakini jamaa hakurudi tena na wala hajulikani alipo,yaani bado hajapatikana!!Dah!Kama ndo hivyo inabidi wadada wawe waangalifu na watu wanaokubali kwenda nao sehemu kama hizo!Hopefully ataadhibiwa ipasavyo kama amefanya hivyo!
lakini jamaa hakurudi tena na wala hajulikani alipo,yaani bado hajapatikana!!
Asante kwa mbinu hizi kinaweza kufanyika kitu!!Hatua za kufanya
1) Kwanza achunguzwe kama ana jeraha lolote mwilini
2) Pili apimwe alitumia chakula/kinywaji gani mara ya mwisho
3) Kitambuliwe chochote alichoacha mwanaume kabla ya kuondoka (vitumike kumtambua mwanaume na kwanini alidanganya kwamba anaenda kununua chakula)
4) Kitambulisho kitumike kujua anapokaa na anaposoma then kujua alikutana na nani mara ya mwisho mbali na mwanaume