Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,073
- 43,520
Nokia 8 Ni flagship ya zamani, sd835 Ina nguvu Kushinda simu nyingi lazima uione simu Ina speed sana.Nasoma haya kupitia Nokia 8...ni beast, nachoipendea iko speed sana huwa najivunia hata uje na simu gani tufanye speed test nitashinda tu. Sijawahi juta kumiliki simu hii.
