Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,690
- 3,382
- Thread starter
- #61
Tatizo la Samsung ni kwenye updates tu.Kumbuka kuwa updates hufanya simu kuwa fanisi zaidi hata kama sd ni ndogo.Mwanzo,simu yangu Nokia 5 haikuwa nzuri sana kwenye kamera.Huwezi amini kwa sasa ni full shangwe,mara baada ya kupata Android Pie.
Hizi simu Ni Doa, sd636 kwenye 6.2 na 660 kwenye 7.2? Even Samsung wame up their game Wana offer sd 675 kwenye mid-range za hii price point.




