hivi za kichina hamna? maana Nokia itakua parefuSubiria open pia hiyo Nokia ya kubofya View attachment 1198882
😄 😄 😄 tupo kwenye kikao bado tunasubiria tecno waachia update ya android 8,Hakuna simu bora kama tecno dunia nzima
Ukibisha ni wivu tu unakusumbua
Hii tatizo Ni os, s30 na 4G bado havijaclick kichwani mwangu, hope feature phone watakayozindua itakuwa na Android ama sailfish.Duuuuuuuuu, balaaaaaa.Cheki pia hiki kitu cha kubofya Nokia 220,kipo sokoni.View attachment 1198888
hizi za batan nazo wangezihamishia tu kwenye android os, kaios km vile wanafeli, wanajaza 3rd part/secondary app na magem meng, user interface yake sio nzuri,
mkononi hapa nina e72 na 8110 4G lakin mambo meng ya haraka nafanya kwa hii e72 as i type now,
Hizi simu ndogo za nokia nimemaliza kariakoo yote na sijafanikiwa kuzipata.Duuuuuuuuu, balaaaaaa.Cheki pia hiki kitu cha kubofya Nokia 220,kipo sokoni.View attachment 1198888
Hakya mamaSema kutoka rohoni mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amepata kichocho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu swalehe hajambo lakini
Kiongozi natumia tecno s1 zle za puromosheni muziki wake chifu ni balaa babulai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] masihara hayo kiongozi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]