Bingwa wa updates,Nokia yuko live Berlin Germany.

Bingwa wa updates,Nokia yuko live Berlin Germany.

Barikiwa saana kiongozi
Kai os nzuri ukilinganisha na s30, Ila haijafikia level za symbian ama s40, Ina app chache na nzito pia haina mini browser Kama Opera mini ambazo Zina.make sense kwenye hizi simu ndogo.
 
Wakuu, tayari Nokia 2720 yenye 4G,imezinduliwa rasmi.Sasa hivi tuko live Berlin.
IMG_20190905_152424.jpeg
 
Hongera kwa utaalamu wa teknolojia.Kumbe inawezekana kutumia Android kwenye hizo simu za batani?.Hebu nifungue kidogo kuhusu hiyo Kai Os utendaji wake.

inawezekana kbsaaa, ni kucheza tu na user interface.

Kaios ni OS iliyochimbukia kutoka kwenye FireFox OS na mozila ikaingia ubia na HDM Global(wamiliki wa Nokia bland kwa sasa) ili watumie os yao katika simu zote za nokia zisizo za batani, ni OS mpya kwaio bd haina mambo mengi japo update ni kama kawa.
 
Hizi simu Ni Doa, sd636 kwenye 6.2 na 660 kwenye 7.2? Even Samsung wame up their game Wana offer sd 675 kwenye mid-range za hii price point.
 
Nokia 800,6.2 na 7.2 rasmi zimezinduliwa
IMG_20190905_180858.jpeg
IMG_20190905_180350.jpeg
IMG_20190905_180350.jpeg
IMG_20190905_180246.jpeg
IMG_20190905_180438.jpeg
 
Wapo pia Germany.Leica na Zeiss nafikiri makampuni ya kamera ya Germany.
In reality picha ya juu bado inafanya kazi Sasa Hivi. Apple, Samsung, Huawei na wachina wengine wanalipa mabilioni kwa Nokia kutumia technology zake kwenye simu, Huawei na Xiaomi wamehamia kabisa huko finland kwenye maabara zao za camera.
 
Back
Top Bottom