Wazazi wako waliokuwa wanasikiliza radio Tanzania dsm ni wajima? Je wazazi wako ni vihiyo hawana maono? Mzazi wako anaposikiliza nyimbo za akina sikinde, rwambo, marvine gaye, sosoliso ni vihiyo na wajima?Bila shaka utakua ni mtangazaji wa TBC, hili shirika bado liko kwenye ujima. Viongozi vihiyo wasiokua na maono ndio maana mpaka leo hii wanaendelea na vipindi vya miaka 1990's.
Hilo jina ulilipata kwa kuangalia michezo ya kuigiza. Ushamba tu huo. Jangala!Ushamba tu huo...
Wazazi wako waliokuwa wanasikiliza radio Tanzania dsm ni wajima? Je wazazi wako ni vihiyo hawana maono? Mzazi wako anaposikiliza nyimbo za akina sikinde, rwambo, marvine gaye, sosoliso ni vihiyo na wajima?
Mkuu hawa jangala ni wale ma-ngongoti na nilikuwa nawaogopa sana hvyo nikaamua kuwaenzi.Hilo jina ulilipata kwa kuangalia michezo ya kuigiza. Ushamba tu huo. Jangala!
Mtoa post ndio mshamba kupindukia kuna watu wamekuwa maarufu kupitia vipindi hivyo vya salamu redioni na wamekuwa hata family friendsAlafu wanamajina yao maarufu sana kama mtaaram wa kuingiza vocha bila kukwangua , mama baloteli, raisi wa wachafu etc wananiachaga hoi hawa watu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Umeshasema mzee. InatoshaUmri wako ndio tatizo. Kuna mzee kule Machame Kisiki Moshi, anaitwa Zakaria Ndefoo, huyo ni kati ya mabingwa wa salamu enzi za Idhaa ta Taifa, na Idhaa ya Biashara za RTD.
Msiba ni taarifa si salam. Kuna tofauti kati ya salam na taarifa.Hayo majina utayasikia radio one matangazo ya vifo mkuu, so ngoma droo na hao wa Kakonko,katavi na Sumbawanga.
Hata mimi huwa inashingaza hao wanaopelekewa taarifa za msiba hawana simu?
Uweze kupiga simu redioni ushindwe kutuma sms?!MTOA MADA UNA HOJA DHAIFU SANA... KWANI KILA MMOJA ANAJUA KUANDIKA SMS,KUTUMIA WATSAPP NA JE KAWA HANA ACCS YA WATSAP..? HATA HIVYO WEWE UNAUMIA NINI ,KAMA HUNA WAKUKUTUMIA SALAM KAUSHA TU