Bingwa wa kuigilizia.....

Bingwa wa kuigilizia.....

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,734
Reaction score
1,011
kudanganya 4.jpg

hapo hata msimamizi wa mtihani hawezi elewa nini kinachoendelea, jamaa ni creative mbaya kabisa..
 
Nimemkubali aisee, creative kakini ni maangamizo kwa future yake mwenyewe
 
sawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu dogo kichwa mbaya kabisa -- multiple intelligencies
 
kuna mtu nilisoma nae alikuwa anaitwa MACHABO huyo cha mtoto mbona!
 
kama chuo lazima UE ichomoke au pepa zetu za september conference(supp)..😛
 
Duuuuuuuu!!!!!Kweli kila shetani na mbuyu wake.............
 
Back
Top Bottom