Chuo ukaenda kusoma nini Mkuu?Sawa sawa, mimi sikupiga Physics, nilipiga EGM advance, class of 2008 Minaki Secondary. Kulikuwa na BIG BANG theory na JIG SAW FIT theory pioneer of plate tectonic. 😁
Bing Bang doesn't explain origin of life but how universe was formed. Stars, Galaxies and more.
Chuo ukaenda kusoma nini Mkuu?
Mfano ukilichukua Yai ukaliweka ndani ya maji yanayochemka zaidi maji yanavyochemka ndio Yai linavyozidi ku-expand [kutanuka] na mwisho Yai hupasuka paaa na kuachia mfereji wa HormusIt is a theory ambayo unaelezea mwanzo wa ulimwengu. Tulianza kama big giantic body baadae due to high temperature the body ika expand over time forming stars and other heavenly bodies.
Hongera Mkuu so kwa sasa unafanya kazi kama Mchumi?Nilipiga Bachelor of Arts (BA) in Economics chuo pendwa mkuu. 😁
😂 Though kama una interest ya haya mambo bila university unajifunza. Physics has all this stuffs.Nilipiga Bachelor of Arts (BA) in Economics chuo pendwa mkuu. 😁
A real thing, my foot! Wewe ulikuwepo?Kuna watu hawaamini katika Bing Bang but I want to assure you that Bing Bang is a real thing.
Yes. Ni physics hio bila ubishi.I think Issue ya space is more physics than geography
Kijana acha kudanganya watuIt is a theory ambayo unaelezea mwanzo wa ulimwengu. Tulianza kama big giantic body baadae due to high temperature the body ika expand over time forming stars and other heavenly bodies.
Yeah maana geography ni more about mazingira. Though zina relationship close to each other.Yes. Ni physics hio bila ubishi.
Not all things zinataji tuwepo though vifaa kama James Webb Space Telescope vipo na vinaonesha picture. Still Cosmic light zipo huko angalia ni kuzidaka tuA real thing, my foot! Wewe ulikuwepo?
Hongera Mkuu so kwa sasa unafanya kazi kama Mchumi?
Hiko kitabu kiliandika ujinga kuliko vitabu vyote ninavovifahamQuran ilishaeleza hiyo issue na zaidi miaka 1400 iliyopita
Hongera tenaHapana mkuu, baada ya kumaliza chuo 2012, nilirudi home kumpokea mshua gurudumu la biashara na uwekezaji. Sijawahi andika barua popote kuomba kazi, wala kufanya usaili popote. Nimejiajiri.
Ujinga uliopo ni hii watu wanaamini with just a single religious book Bibilia or Quran unaweza kuelezea kila kitu. Au Vitabu hivi vikajibu maswali ya watu wote.Hiko kitabu kiliandika ujinga kuliko vitabu vyote ninavovifaham
Hongera tena
Unamshauri nini mtu ambaye ndo anahitimu kozi uliyoisoma wewe
na yule mwenye mpango wa kuisoma kozi uliyoisoma wewe
Bado I'm curious 😂Naona hatimaye Daudi umemaliza utafiti wako 😅🤝🏽
There are numerous unexpected observations that conflict with the theory's predictions, requiring the addition of numerous "fix" parameters to keep it viable!Not all things zinataji tuwepo though vifaa kama James Webb Space Telescope vipo na vinaonesha picture. Still Cosmic light zipo huko angalia ni kuzidaka tu