Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 3,910
- 5,166
“Hata alipofika mahali jua linapozama, aliona linazama katika chemchemi ya matope…”Quran ilishaeleza hiyo issue na zaidi miaka 1400 iliyopita
Surah Al kahf 18:86
“Hata alipofika mahali jua linapozama, aliona linazama katika chemchemi ya matope…”Quran ilishaeleza hiyo issue na zaidi miaka 1400 iliyopita
Hata alipofika mahali jua linapozama, aliona linazama katika chemchemi ya matope…”Kiswahili ni 'hicho' kitabu na si hiko
Hapo hujawahi hata kukisoma lakini unajifanya unakijua
Sasa......Wewe jamaa ni mtu mpumbavu sana
Nakufuatilia Kwa karibu nione evidence za hio theory kumbe ni masuala ya niamini Mimi bro
Hili jukwaa la intelligence linaruhusuje
Huu ni upumbavu, vitabu vimeandikwa ili muweze kuishi katika maadili hamna fact yeyote inayoelezea Vitabu vya kidini especially kuhusu space related issue ambayo sayansi imekubali. Quran Haina ujumbe wowote unaosaidia kwenye space program.“Hata alipofika mahali jua linapozama, aliona linazama katika chemchemi ya matope…”
Surah Al kahf 18:86
Leta evidence acha BLA BLA za kijingaSasa......
Naona ufia dini umewaharibu mno na kudhani sayansi Ina dili na makisio yasiyo na mashiko.
Wewe umekaririshwa theory za wazungu ukameza kama kuku huna EvidenceHuu ni upumbavu, vitabu vimeandikwa ili muweze kuishi katika maadili hamna fact yeyote inayoelezea Vitabu vya kidini especially kuhusu space related issue ambayo sayansi imekubali. Quran Haina ujumbe wowote unaosaidia kwenye space program.
One of the big issue nimeona especially kwa waislam ni kujifanya with just that one single boom you can explain the who universe which is completely wrong. That's why people are still curious na kuendelea ku explore zaidi, huu ujinga wa kujifanya wajuaji ni mbaya sana.
Leo, nilikuwa nacheck mission ya Artemis, waislam wanajifanya mnamtafuta Mungu kwenye mwezi. Mara huwezi kutoka nje ya earth horizon aise religion is religion and it is based on faith and science is investigation and experimentation and based on fact and evidence.
Unahitaji evidence gani mzee? Kuwa open..Leta evidence acha BLA BLA za kijinga
Ukiwa pwani ya Cameroon na Nigeria,utaona jua linazama baharini,ukiwa jangwani utaona jua likichomoza na kuzama kwenye mchanga wa jangwa,ukiwa coco beach dar utaona jua linachomoza bahari ya Hindi“Hata alipofika mahali jua linapozama, aliona linazama katika chemchemi ya matope…”
Surah Al kahf 18:86
Kwa hiyo badala ya kusoma Cosmology Chuo kikuu, mwanafunzi anaweza kwenda tu Madrasa akapata hiyo elimu yote humo?Quran ilishaeleza hiyo issue na zaidi miaka 1400 iliyopita
Ukiwa pwani ya Cameroon na Nigeria,utaona jua linazama baharini,ukiwa jangwani utaona jua likichomoza na kuzama kwenye mchanga wa jangwa,ukiwa coco beach dar utaona jua linachomoza bahari ya Hindi“Hata alipofika mahali jua linapozama, aliona linazama katika chemchemi ya matope…”
Surah Al kahf 18:86
Quran hutoa hints tu kwenye sayansi na history, mengine uendelee kutafiti mwenyeweKwa hiyo badala ya kusoma Cosmology Chuo kikuu, mwanafunzi anaweza kwenda tu Madrasa akapata hiyo elimu yote humo?
MMMH????It is a theory ambayo unaelezea mwanzo wa ulimwengu. Tulianza kama big giantic body baadae due to high temperature the body ika expand over time forming stars and other heavenly bodies.
Eti ikapasuka pwaaaaaaa. HahahaaaMpasuko wa dunia unayoishi kwamba ilianza km Nukta tu kisha ikapasuka pwaa na kua km ilivyo