Bing Bang Theory is real. Ask me anything about it here…

Attachments

  • Screenshot_2026-03-27-23-15-13-008.jpg
    Screenshot_2026-03-27-23-15-13-008.jpg
    126.2 KB · Views: 2
Viingereza vya nini!?
😂Watu bhan kuandika kwenye tumegundua 1500BCE also Islamic started 600 years later after Jesus died Sasa hivi vitu they don't contain fact that science has provide to us.

The Big Bang theory imetengenezwa na mordern physics around 20th century na sidhani kama Kuna kitabu Cha dini kimeelezea.
 
Uwe unasoma na kuzingatia unachojibiwa,Mimi nakusoma wewe na wachangiaji kwa umakini na kijibaridi hiki Cha mvua
 
Nilivyokuwa sipendi kusoma wala
Sikuwa nakesha acha nikodoe tu mimacho😃
nimejaribu kuvuta picha nikaona namna muda wako shule ulivyo kuwa wa mateso🤣🤣 hakuna kuandika notes wala nini ,kudoji vipindi ilikua kawaida,muda wa break ulikua ni muda wako pendwa kengele ilikua ikipigwa hivi umesharuka dirishani,mwalimu akikaza na muda wa break umeshagonga unatamani umwambie mwalimu muda wa mapumziko tayari tuache😜
 
We acha tu breaktime nikirudi hostel ndio bye bye! Kama umejua tu na sijawahi kufeli sasa😁
 
kweli kabisa,ila ni mfumo wa wa elimu Tanzania ndiyo umeharibu kila kitu umekaa kumezesha watu na sio kwaajili ya kunufaika na elimu yetu bali kujaza ubongo tu
Sahihi, juzi nilikuwa naongea na dogo yupo form four dah wanakiririshwa. Mtoto akitoka hapo everything disappears slowly, hamna anapo apply kitu mahali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom