Binamu Nyama ya Hamu..

You can emagine... unawasiliana na mtu kisha unaomba picha yake halafu anakutumia ya mbaba tuu hata hawahusiani. .... fake picture...

Huyo cousin wako muongo kwanza.

Huyo mbaba wa kwenye picha ulimkubali lakini eeh?
 
Mhhhh! It is a new era whereby under 25 YO are also included in Granny group.

Sijazoea small sizes..... huwa nikijua napotea tuu mbele yao. Napenda age mate and above my age... wachonge mzinga kwa waschana wenzao sio mie granny. ..
 
Mhhhh! It is a new era whereby under 25 YO are also included in Granny group.
They can be included in any other granny group but can not be with granny Kasie.
 
Okee nimekuelewa. ... ntakitahidi kushusha hasira nimweleze.... akinielewa well and good, akileta nyimbo zake tena nampa keleb ingine....
Hee! Keleb jingine. Kama umemzidi umri ni added advantage sana. Usimpige jaribu kuresolve kiutu uzima zaidi. Kama unamguide hivi atakuwa in denial kukubali ukweli ila hamna kitu kinachomshusha mwanaume kama kuwa undermined kwasababu ya umri. Having said that i wish u best of luck!
 
Huyo cousin wako muongo kwanza.

Huyo mbaba wa kwenye picha ulimkubali lakini eeh?

Ni muongo kabisaa....
Nilimkubali ndio maana hakuwa ndugu yangu... I take him as new crush until I met the cousins at airport.
 
Thanks nimekuelewa sana....
 
Sasa haya unatuambia sisi tufanyaje kama umempiga kibuti siukae kimya mbona ulio wapa hiyo mambo hapo kati hukusema,upuuzi tu huu
 
Mmmmm hii haiko sawa ila mm mgeni jaman apa SA!
 
Under 25 YO Granny Kasie, you're too young to include yourself in that group Kasie.

They can be included in any other granny group but can not be with granny Kasie.
 
toka kwa Nyerere hadi kwa Madiba, halafu akaambulia kelebu, πŸ™‚ πŸ™‚ kaaaaazi kweli kweli
Hizi mbunye zinatutesa sana mkuu. Mimi nilishasafiri kutoka San Francisco mpaka Maine kufuata mbunye kisa tu eti binti mzungu. Yaani Msukuma nipo kwenye ndege 6hrs+ kisa naenda kuonja mzungu. Baghosha!

Halafu unafika unaambulia la kelbu duh!
 
Kuna binamu wangu mmoja alinitaka nikamuonea huruma lakini naona anapendeza siku hizi😡 Akinikalia sawa nitamuosha kwenye mnara.πŸ˜‰
 
Hahahaha halafu mzungu wenyewe kabati(mtoto wa Tembo😱) San Francisco mpaka Maine si 10 hrs mkuu au hio non stop.
 
Reactions: kui
Hahahaha halafu mzungu wenyewe kabati(mtoto wa Tembo😱) San Francisco mpaka Maine si 10 hrs mkuu au hio non stop.
Mzungu alikuwa classmate wangu. Alikuwa binti mzuri sana kimodo modo hivi miguu imeshiba kiuno chembamba na kitako lensi mbinuko kiaina. Nilimpenda kwa ajili ya tabia yake ya utu. Basi tumefunga Spring break kaenda kwao wakati huo sijamtongoza kwa sababu ya woga japo dalili zilikuwa wazi. Akanipigia simu njoo home Maine upumzike Spring break. Mamake alikuwa single mom na wakati ule alikuwa na terminal cancer ya matiti alikuwa hospitalini. Ngosha chapu chapu nikatafuta tiketi aisee safari ndefu kishenzi. Two stops 11hrs+ mpaka nikatinga Maine usiku. Maisha haya we acha tu. Si ajabu niliacha Wasukuma huko Maine aisee. Namkumbuka Gretchen jamani!
 
Duh.

Kuna mbaba kashakubaliwa lakini hata hajui.

Hahahahahahaaa Kiranga acha uchokozi....
Siku hizi umeacha ukali? Maana ulikuwa mkali hadi nikawa naogopa hata kuku quote......

Ni kweli huyo mbaba hajui kama kakubaliwa, si unajua crushes za Kasie. ...
 
Kuna binamu wangu mmoja alinitaka nikamuonea huruma lakini naona anapendeza siku hizi😡 Akinikalia sawa nitamuosha kwenye mnara.πŸ˜‰

Weeeh huyo ni dada yako usimle. ... muachie shemeji yako akusaidie kumla. ...
 
Daah...huyo dogo ana ujasiri aisee, hajiulizi kuwa baada ya kufanya baadaye itakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…