Sun Wukong
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 1,152
- 2,300
Kaka mimi yani mpaka sometimes unatoka kuzurura kama bata alafu usiombe kuwa na crush nyumba ya pili ila ukijiangalia fedha zinakutosha wewe pia sio mtu wa matupio unaona bora huu upweke wangu japo sometimes ni jau sana