min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,522
- 128,090
Huku kwenye ndoa kwenyewe kila mtu kasika simu yake....hatuongeleshani Kama unavuodhani![]()



Tena Kuna wengine wanauana kabisaSio kwel,,ma ex uliwapatajeHili swala lilianza hata kabla sijakutana nao.
Au ndio kusema nilianza kutumikia adhabu kabla ya kufanya kosa.
Kila mtu ana simu yake akiwasiliana na watu ambao wapo mbali na upeo wa macho yakeTena Kuna wengine wanauana kabisa
0749 924945Nipe mkuu.
Kukusaidia jitoe out, you will experience something newWeekend ndio inaendelea hivyo nimetoka job.
Gheto liko, kimya. Hakuna hata mwanamke wa kuongea nae.
Hali ya upweke inanijia..
Nashika simu, upande wa contacts hakuna hata jina la kike nipige.
nahisi mimi na mtatizo.
Hapo nimesahau aisee, pm nayo inagoma. Basi chukua fasta ili nifuteSasa mbona umeweka hapa hadharani, watu si watazichukua wamsumbue.