Binafsi siwezi kuishi kimapenzi na mademu wanaoandika xax, Xmas,ko, n.k

Ni ujana kila mmoja anapitia,siku wakiwa Watu wazima wataacha au wewe hukupita katika hatua hiyo?
 
Mwalimu wa shule ya msingi aliniandikia hizo lugha tena wa kiume. Nilivyomhoji akasema ndo lugha ya kisasa. Sasa subiri kizazi kijacho mtaona mengi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…