Salaam wandugu,
Kumekuwa na malalamiko mengi sana yatokanayo na mambo ya mahusiano,uchumba na ndoa. Malalamiko haya mara nyingi yamesababishwa na kitu kinachoitwa UAMINIFU. Mwanaume anataka mke awe wakwake peke yake na mwanamke anataka mume awe wakwake peke yake.
Sasa hayo yameshindikans ndomana msamiati wakukosa Uaminifu unaibuka na majanga yanajitokeza. Swali ni je, asili ya binadamu nikama wanyama/viumbe wengine kutowekewa mipaka kwenye mahusiano ila tunalazimishia au nini kimejificha ?