Binadamu tumelaanika

Binadamu tumelaanika

HIMLER

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
429
Reaction score
228
Tokea nimekua na akilizangu sijawahi kuskia eti mnyama kamwingilia mnyama mwenzie kinyume na maumbile sasa binadamu tunatoa wapi hii akili kweli hata maraisi wanaunga mkono kama obama nawenzie jamani tuutafakari uwezo wao wa kufikiri

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
tusiendelee kuwalaum binadamu ila tupige goti kwa Mungu wetu atusamehe, tukisha samehewa yote yataondolewa kwa uwezo wake maana hakuna analoshindwa.....
 
Inabidi tuwe na akili za wanyama ili tusifanye haya mabaya wafanyayo WANADAMU
 
Tokea nimekua na akilizangu sijawahi kuskia eti mnyama kamwingilia mnyama mwenzie kinyume na maumbile sasa binadamu tunatoa wapi hii akili kweli hata maraisi wanaunga mkono kama obama nawenzie jamani tuutafakari uwezo wao wa kufikiri

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mkuu if yo a christian then perhaps you know the story of sodoma na gomora. This things vilikuepo tangu zamani that's why Mungu akakasirika na kutaka kuwipe out the entire earth. Kiukweli ni vitendo vya aibu sana na ni against the laws of nature. Lakini sometimes hua najiulizan vipi sasa kuhusu wale wanaume ambao wamezaliwa wana homoni nyingi sana za kike kuliko za kiume. Should we condemn them too? Mimi kuna jamaa nilishawhi kusomaga nae secondary, yaan huyo jamaa akifichwa sura unaweza ukahisi ni mwanamke maana ana hips kabisa (seriously). Kwaio mimi naogopa kucast a stone, lakini pia sitetei vitendo hivi kwani ni udhalimu na laaana isiyoelezeka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom