- Thread starter
- #21
Hata Bruce Lee mfalme wa Kung-fu alikuwa akiiga sanaa ya mapigano kwa wanyama!
Ic kumbe tunaiga mengi!!!!!
evernder alimng'ata Tyson aliiga kwa Punda, maana ugomvi wa punda ni kulana masikio tehheeee teheee teheee watu wa Singida wanayajua hayo