Binadamu mwenzako huwezi kumtendea unyama huu

INAUMA SANA.
Kuna mama mmoja ni mtu mzima tu jilani yangu kila jumapili saa kumi na moja mumewe akitoka kwenda kanisani yeye muda huo huo huingiza mwanaume mwingine ndani.

Jumapili ya leo nimeshuhudia tena, ile mume wako alivyotoka tu kwenda kanisani mida kama ya saa kumi na moja asubuhi na yeye muda huo huo akamuingiza jamaa ndani na wakafunga mlango

Imekuwa ndiyo mchezo kila jumapili na watu kibao wameshastukia mchezo mzima.

It pains so deeply kuona mwanaume mwenzako akitendewa haya.
Wanawake ni watu wa ajabu sana.
Chomoeni betri haraka.
 
mkuu sasa wewe kila juma pili unamuona uyoo mama akiwa anavusha, magendo inamana wewe unakua unatafuta nini hiyo saa11? Tuambie na wewe mkeo huwa unamuacha nanani mda huo unao kua nje kumchunguza uyoo mama, mlafi wa vilele
 
MKUU FANYA YAKO MAISHA YENYEWE MAGUMU, MIMI NILIWAHI SAIDIA KUANDIKA TARAKA BAADA YA WIKI WAKARUDIANA.NIKAHAMA MTAA..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Umenikumbusha mbali

Mimi Bro wangu alikua akimtesa sana Demu wake ambaye walikua wanaishi pamoja vipigo karibu kila siku,simu za malalamiko unapigiwa ukienda nyumba kwao hakuna fuaraha Muda mwingi, Bro ni mtu wa kumtukana mtoto wa watu kwa kosa hata kidogo..Siku moja nikampa ushauri yule demu aachane na Bro maana si mwanaume muungwana.Aliporudi Bro akamwambia yote niliyoyasema,Bro alinimaindi balaa akataka kuniwashia moto nikaomba radhi kuepusha fujo.

Ndugu mtoa mada hayo huyawezi yaache kama yalivyo
MKUU FANYA YAKO MAISHA YENYEWE MAGUMU, MIMI NILIWAHI SAIDIA KUANDIKA TARAKA BAADA YA WIKI WAKARUDIANA.NIKAHAMA MTAA..
 
INAUMA SANA.
Kuna mama mmoja ni mtu mzima tu jilani yangu kila jumapili saa kumi na moja mumewe akitoka kwenda kanisani yeye muda huo huo huingiza mwanaume mwingine ndani.

Jumapili ya leo nimeshuhudia tena, ile mume wako alivyotoka tu kwenda kanisani mida kama ya saa kumi na moja asubuhi na yeye muda huo huo akamuingiza jamaa ndani na wakafunga mlango

Imekuwa ndiyo mchezo kila jumapili na watu kibao wameshastukia mchezo mzima.

It pains so deeply kuona mwanaume mwenzako akitendewa haya.
Wanawake ni watu wa ajabu sana.
Huyo jamaa atakuwa ni mme wa mtu...
 
Tafuta namba ya jamaa then mtumie text ya kumwambia uchafu wa huyo malaya kwa namba mpya then mwambie aweke mtego kujiridhisha...mwanamke anayegongewa ndani ya nyumba ya mumewe sio mwanamke ni zaidi ya jini mkata kamba.
We mkuu hiyo sentensi ya mwisho nimecheka aiseee, wanawake ni viumbe wa ajabu mno
 
Umenikumbusha mbali

Mimi Bro wangu alikua akimtesa sana Demu wake ambaye walikua wanaishi pamoja vipigo karibu kila siku,simu za malalamiko unapigiwa ukienda nyumba kwao hakuna fuaraha Muda mwingi, Bro ni mtu wa kumtukana mtoto wa watu kwa kosa hata kidogo..Siku moja nikampa ushauri yule demu aachane na Bro maana si mwanaume muungwana.Aliporudi Bro akamwambia yote niliyoyasema,Bro alinimaindi balaa akataka kuniwashia moto nikaomba radhi kuepusha fujo.

Ndugu mtoa mada hayo huyawezi yaache kama yalivyo
Huyo shemeji ni wa kukata vibao shenzi sanaa!!
 
Kweli kabisa.....
Baba anawezaje kwenda kanisani pekee na kuiacha familia nyumbani asee
Usiseme hivyo mkuu,unaoa mke yuko vizuri,mbele ya safari anakuja kukengeuka,tena mbaya zaidi mkiwa dhehebu tofauti hapo ndio inakuwa shida zaidi.Hizi ndoa zisikie hivi hivi,uombe tu yasikukute...
 
Back
Top Bottom