Binadamu mwenzako huwezi kumtendea unyama huu

Binadamu mwenzako huwezi kumtendea unyama huu

We kausha tu ila mtoa Mada ndo Pigo zako hizo za kuumbua uovu kama nyuzi zako za nyuma

Si useme tu ushamchoma unatafuta support kwa kile ulichokifanya
🤣🤣🤣🤣🤣 kawekaa...ikizungusha kawekaaa!!!
 
INAUMA SANA.
Kuna mama mmoja ni mtu mzima tu jilani yangu kila jumapili saa kumi na moja mumewe akitoka kwenda kanisani yeye muda huo huo huingiza mwanaume mwingine ndani.

Jumapili ya leo nimeshuhudia tena, ile mume wako alivyotoka tu kwenda kanisani mida kama ya saa kumi na moja asubuhi na yeye muda huo huo akamuingiza jamaa ndani na wakafunga mlango

Imekuwa ndiyo mchezo kila jumapili na watu kibao wameshastukia mchezo mzima.

It pains so deeply kuona mwanaume mwenzako akitendewa haya.
Wanawake ni watu wa ajabu sana.
Sema ni cutelove
 
Mida ya cha asubuhi mtu anajitia kuwahi kanisani

Kanisani alfajiri kali hiyo badala umkumbatie mkeo
 
Umejuaje kwamba huyo mwanaume anaenda kanisani kweli kwa muda huo? Mimi nahisi nayeye anaingia kwenye nyumba ya jirani na pengine mke wake anajua ndiyo maana anafanya anachofanya.
 
Back
Top Bottom