Binadamu mwenzako huwezi kumtendea unyama huu

Binadamu mwenzako huwezi kumtendea unyama huu

MKUU FANYA YAKO MAISHA YENYEWE MAGUMU, MIMI NILIWAHI SAIDIA KUANDIKA TARAKA BAADA YA WIKI WAKARUDIANA.NIKAHAMA MTAA..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] heri wapatanishi mana watamwona mungu
 
Mkuu huo ndio umbea sasa,
Umbea ni taarifa sahihi ila ama mtoaji au mpokeaji ama wote wawili sio sahihi kupewa taarifa hiyo. Umbea ndio asili ya nguvu za USALAMA WA TAIFA (TISS).

Ogopa kupewa majungu ila umbea ni lazima uwepo ili kufanikisha usalama, amani na utulivu wa mtu, familia, jamii na taifa lenyewe!

Bazazi!
 
Tafuta namba ya jamaa then mtumie text ya kumwambia uchafu wa huyo malaya kwa namba mpya then mwambie aweke mtego kujiridhisha...mwanamke anayegongewa ndani ya nyumba ya mumewe sio mwanamke ni zaidi ya jini mkata kamba.
 
Tatizo la umbea ni nini?
Nguvuze si haba aslani
Zavunja maovu duniani
Zaleta amani na utulivu
Haisaidii katu kuubeza

Bazazi
 
Back
Top Bottom