Binadamu katoka wapi?

Binadamu katoka wapi?

Muheshimwa umenifikirisha sana! Sisi pia ni aina ya funza out of something
Ni sahihi kabisa.
Sisi ni aina ya funza ambao tumetokana na tunda aina fulani lililooza katka eneo letu na lilikuja kwa wakati tofauti na mengine yaliyooza maeneo mengine.. Na hayo matunda yameleta viumbe waliotofautiana sip kwa rangi tu mpka nchi,kanda,mkoa,kabila n.k
Mfano Wanyarwanda ni weusi lkn je wanafanana na Watanzania kimwonekano?
Au Wazaramo wanafanana na Wairaqwi?
 
Unaweza kupima hili hata katka hatua za maendeleo yetu..
Wazungu miaka ya 1907 walitawanyika duniani kutafuta mali na hata reli ya Tanga Arusha ilijengwa nyakati hizo lkn sisi wkt huo tulikua tunafanya nini?
Kama mpka leo hatujaweza kuzalisha chuma cha reli ambacho wao walizalisha miaka hiyo ya 1700..Ndio kasema tofauti yao na yetu ktk maendeleo ilitokana na tunda lililooza katika maeneo yao liliwahi zaidi kudondoka kabla ya letu.
 
Hao jamaa japo sifahamu majina yao halisi ila nina hakika ndio waletao kizungumkuti cha dini na maarifa mengi

Ndio waanzilishi wa dini za kiabrahamu nikiwa na maana ya uyahudi,ukristo na uislamu

Vitabu vya dini hizo ukivisoma bila wenge la kutafsiriwa maana na wanaojiita marabi unatoka na bonge la picha

Tena ukienda kuongezea na vedas za kihindu bila kusahau Tao teaching lazima uwe Guru

Haya maelezo yamenikumbusha mbali sana,ila cha msingi niko hapa.

Umeshawahi kusoma kitabu cha uislamu katika lugha yake ya asili(Kiarabu) na ukatoka na kitu ?

Pili,naomba unioe uthibitisho juu ya hao jamaa unao dai ndio waanzalishi wa hizi dini,hasa Uislamu ? Ilikuwa lini walianzisha dini na kwa sababu gani ?
 
Haya maelezo yamenikumbusha mbali sana,ila cha msingi niko hapa.
Yamepeleka wapi Hisia zako..?(Kwa uchache)
Umeshawahi kusoma kitabu cha uislamu katika lugha yake ya asili(Kiarabu) na ukatoka na kitu ?
Nimesoma tafsiri tu na nimetoka na yale niliyoona muhimu kwangu
Pili,naomba unipe uthibitisho juu ya hao jamaa unao dai ndio waanzalishi wa hizi dini,hasa Uislamu ? Ilikuwa lini walianzisha dini na kwa sababu gani ?
Weka vizuri swali lako halieleweki

Unataka uthibisho wa kujua lini walianzisha Dini kwa ujumla au dini yako wewe ya kiislamu..? Sababu zitategemea na unachotaka kufahamu
 
Yamepeleka wapi Hisia zako..?(Kwa uchache)
Nimesoma tafsiri tu na nimetoka na yale niliyoona muhimu kwangu
Weka vizuri swali lako halieleweki

Unataka uthibisho wa kujua lini walianzisha Dini kwa ujumla au dini yako wewe ya kiislamu..? Sababu zitategemea na unachotaka kufahamu

Nataka kujua juu ya dini yangu ya Uislamu.

Hili ndio tatizo ninalo liona kwenu,laiti kama mngeiacha elimu ikafanya kazi na kuchukua nafasi yake,huu ujinga mnao uandika usingekuwepo.

Naendelea hapa,umesoma tafsiri ya nani ? Na ilikuwa kwa lugha gani ? Sababu huko juu ulimili kwenye lugha asili ? Sababu hata hizo tafsiri nazo zipo zilizo katika lugha asili.
 
Nataka kujua juu ya dini yangu ya Uislamu.

Hili ndio tatizo ninalo liona kwenu,laiti kama mngeiacha elimu ikafanya kazi na kuchukua nafasi yake,huu ujinga mnao uandika usingekuwepo.
Unaweza kuweka bayana ujinga tunaoandika..?
Naendelea hapa,umesoma tafsiri ya nani ? Na ilikuwa kwa lugha gani ? Sababu huko juu ulimili kwenye lugha asili ? Sababu hata hizo tafsiri nazo zipo zilizo katika lugha asili.
unaliza maswali yasiyo na tija_iwe ya kingereza au kigiriki au kiswahili inasaidia nini..! Au unakusudia nini.?

Naomba ukafuturu kwanza Mufti ni wakati huu ukirudi katika akili yako tuendelee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom