Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,840
- 2,425
Lazima wabishe tena kubishana nao ni tabu sana bora kunyamaza kila mtu ajue na kuamini chake.Nilikuja kwa mfumo wa kuelezea dunia haitabiriki umbo lake, na wengi walikataa. Ndio nikajuwa tayari waliokaririshwa vimekaa vichwani mwao.
convincing proof