Em chukueni hii 'thought experiment'
Fikiria wewe ni kiumbe fulani, ambaye hujawahi kuishi kabisa ulimwengu (universe) huu. You do not care about anything, bali unaviangalia vitu kama vilivyo tu. Sasa piga misele, ukikiangalia kila kitu kama ndo umekiona mara ya kwanza.
Ruksa kuunganisha na ideas ulizonazo tayari kama za kisayansi, ila jifanye kama ndio unaviona vitu hivi kwa mara ya kwanza.
Ukiona ngumu.
Tembea barabarani, halafu fikiria huwajui viumbe hivi (binadamu). Sasa waangalie kama unawaangalia kuku bandani. Judge them as you see them.
Hapo ndio utaelewa ukweli upo wapi. Kama ni mara yako ya kwanza, itakuwa ngumu kukubali unachokiona kama kilivyo. Ila fikiria tena, utaelewa.
Why this experiment?
Kuondoa upendeleo katika kuangalia mambo. Tupo biased pale tunapojaribu kujitafiti. Huu u-bias hauletwi na dini, bali upo ndani yetu sote. Tayari ndani yetu tunadhani sisi ni 'special' as if tuna historia isiyofanana na maada yoyote ile duniani.
Note:
This thought experiment might cause you a depression.