Binadamu katika ubora wake

Binadamu katika ubora wake

Juzi mi walikuja kunibariki hawa wateule! Wamesafisha seating room wameacha makapeti tu na spika

Duu aisee pole sana maumivu yake nayajua unaamka asubuhi hakuna flat screen wala mziki na vitu kibao
 
Back
Top Bottom