Hawa wanatofaut gani na wale IS wa Syria!! Hata kama ni adhabu hii ya kutoa uhai wa mtu ni mbaya
Nayakumbuka vyema maneno ya Hayati Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere kuhusu Dhambi ya Ubaguzi.
Kuna kitu huwa kinanichanganya mno, ukikumbana na kasheshe la vibaka/wezi wakakufanyia mambo yao, hutakaa uwaonee huruma ukikuta wanasulubiwa, lakini kuna wakati ukikuta vile wanavyoomba wasiuliwe kuna roho ya ubinadamu inanijia na kujisemea si wamwache tu sasa imetosha hatarudia tena..!!!
Dah tumekuwa na hasira na vibaka kama hawa wanaoiba vitu vidogo vidogo..mbona hatuna ujasiri wa kuwasulubu hawa viongoz wetu wanaoiba mabilions??kingine mie ninachohofia ukimchoma MTU kama hivi lazima yakurudie maana unaambiwa ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga
ni kweli na mie ni mhanga wa hao hao vibaka walishawi kuninasua bonge la kibao yaani nusu niteme jino na simu wakachukua..ila huezi amini sina ujasiri wa kuwapiga hata kama niwakute wanapewa kisago. Namwachiaga mungu naogopa sana kisasi!!unajua shida ni kwamba kuna athari za moja kwa moja unapokutana na kibaka, tofauti na hao wezi wanaoiba kwa njia ya kalamu
ni kweli na mie ni mhanga wa hao hao vibaka walishawi kuninasua bonge la kibao yaani nusu niteme jino na simu wakachukua..ila huezi amini sina ujasiri wa kuwapiga hata kama niwakute wanapewa kisago. Namwachiaga mungu naogopa sana kisasi!!
So sorry charty lakini umenifanya nicheke bila kupenda, mimi walishawahi kunisafisha sitting room na jikoni mara ya kwanza na mara ya pili kwenye gari. Namshukuru Mungu walikufa wote kasoro mmoja ambaye yupo pale getini mwananyamala amepooza miguu anaombaomba
so sorry charty lakini umenifanya nicheke bila kupenda, mimi walishawahi kunisafisha sitting room na jikoni mara ya kwanza na mara ya pili kwenye gari. Namshukuru mungu walikufa wote kasoro mmoja ambaye yupo pale getini mwananyamala amepooza miguu anaombaomba
Wee jamaa wewe! uliwafanyaje?
hahahaha uliwafanyaje hadi wakafa
Kwanza nilishauriwa nisome albadiri nikakaa nikasema namuachia Mungu, kisha nikaambiwa niende kwa waganga bado nikakataa nikamwachia Mungu...!
Kwahiyo sikufanya lolote wala chochote zaidi ya kumwachia Mungu
Huyo wa juu alinusurika kuchomwa moto cz walimmwagia petroleum wakasahau kiberiti, ikabidi waende dukani kununua kiberiti ghafla police wakafika ndio ilikuwa salama yake.... Ilikuwa mbagala kiburugwa hiyo 2010
So sorry charty lakini umenifanya nicheke bila kupenda, mimi walishawahi kunisafisha sitting room na jikoni mara ya kwanza na mara ya pili kwenye gari. Namshukuru Mungu walikufa wote kasoro mmoja ambaye yupo pale getini mwananyamala amepooza miguu anaombaomba