Binadamu genius anazaliwa hivyo au anatengenezwa?

terrat

JF-Expert Member
May 6, 2015
204
100
Ndugu zangu wanaJF,

Nauliza hivi, huwa ma-genius wanazaliwa na huo u-genius au wanatengenezwa?
Are genius made or born?

Naombeni msaada wenye maelezo maana najua wataalam wapo wengi humu.
 
So if genius is a product of gene.... Means they are born ...
Why in some families we can find people with very low IQ while their ancestors/parents had very high IQ?
Now how can it be a product of gene and we all know gene is the genetical make up of an organism?
 
Genius anazaliwa..lakini pia anaweza kutengenezwa...ukiangalia wagunduzi wakubwa walikuwa sio magenius shuleni,kusema walikuwa wanaongoza madarasani..Lakini mimi naamini vyakula vina mchango mubwa sana katika kumfanya mtu awe genius, kwa mfano vyakula vya ngano vina virutubisho vingi na protein pia, ndizi za kupika(angalia sehemu zote watu wanakula ndizi kama chakula kikuu),samaki,matunda ya kiwi,ubuyu,ndizi kisukari na maziwa...Ukiwa na mtoto hakikisha katika siku 5 za wiki anakula vyakula hivi kwa mzunguko,hasa ngano,ndizi na samaki..
 
Back
Top Bottom