BINADAMU ana RANGI 6

BINADAMU ana RANGI 6

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1398094072.856942.jpg
 
Rangi ya mkorogo hapo ni ipi?
Alimaarufu (makeup/makedown)
 
kitu cheusi isee sio mchezo rangi adimu sana.
 
Mkuu naona hizi rangi za mikona ni kama kitandaweli sasa ni tajaribu kutenguwa naanza ya 1 ni akili na uvumbuzi 2 biashara na pesa 3 sonara na mtoni 4 chotara na vichupa vya uhai 5 bahari na mvuvi 6 kidumbak na chebuku na dem na bangi sasa hapo amezidi vitu vingini yule wa sita ina maana huyu ana bahati ya kuzaliwa na tumpongezee kwa hiyo bahati yake
 
Back
Top Bottom