Bin Laden karudi na style mpya ya 2013!!

pageup

Senior Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
156
Reaction score
59
attachment.php
 
Attachments

  • 170605581.jpg
    170605581.jpg
    27.3 KB · Views: 763
Hivi unamaanisha Bin Laden au? Kama ni huyu mbona ni marehemu wa muda? Ila naona huyu kama celeb fulan and nt mzee wa kazi Bin Laden!
 
Joyride, inawaponza wengi hiyo uarabuni!

Waarabu walilaaniwa na damu, ndio maana wakikosa wa kupigana naye wanapigana wenyewe kwa wenyewe, na ikiwa wakikosa kitu cha kupigania basi watajikata na nyembe ili mradi tu damu imwagike
 
Labda lakini sijui wale kina Chacha Marwa ni binamu zao?
 
Kina Chacha wanapigana kugombea jambo, huwa hawapigani bila sababu ya msingi. Ukiona wanapigana basi ujue hapo issue ni mifugo au shamba, lkn hawa Waarabu wana laana. Kwa mfano angalia hii picha

images

Hii ni sikukuu ya Ashura na hapa kila mtu kajikata mwenyewe, usidhani kapata ajali

images

Na hapa chini ni wanawali, wao nafikiri siku hiyo wote wanakuwa period ili nao wamwage damu

Kwanza Waulize wenyewe Waarabu wanawatambua mashia kuwa ni Waarabu? Fanya uchunguzi kwanza
Halafu wale wamakonde na jamii nyenginea wanajichonga nyuso na kujiharibu nao ni Waarabu? Na jee Waisrael ambao ni binamu ya Waarabu tuwaitaje?
Jengine ndugu yangu huwezi kupigania kitu bila ya kuuwana hata uhalalishe mauwaji ya upande mmoja na kuharamisha upande mwengine?
Tatu ndugu yangu pale tunapowahasiri wenzertu maalbino jee nako huko kuitweje?
 
Kina Chacha wanapigana kugombea jambo, huwa hawapigani bila sababu ya msingi. Ukiona wanapigana basi ujue hapo issue ni mifugo au shamba, lkn hawa Waarabu wana laana. Kwa mfano angalia hii picha

images

Hii ni sikukuu ya Ashura na hapa kila mtu kajikata mwenyewe, usidhani kapata ajali

images

Na hapa chini ni wanawali, wao nafikiri siku hiyo wote wanakuwa period ili nao wamwage damu

images

Ujinga na chuki ni magonjwa hatari kuliko hata UKIMWI.
 
Back
Top Bottom