Bima ya Afya kwa wote

Bima ya Afya kwa wote

Grant23

Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
8
Reaction score
5
Wanajamii mpango wa bima kwa wote ni muhimu, lakini ni kwa njia zipi wananchi watachangia kiasi kilichopangwa na wizara ya afya.

Kwa maoni yangu watu wengi wana simu za mkononi, kwa nini isitafutwe njia ya kuuchangia mfuko wa bima kupitia mfumo wa simu ya mkononi, watu wengi wanasimu za mkononi, kinachatakiwa mfumo wezishi, utakawezesha wananchi kujichangia wenyewe.

Namba za simu zitumike Kama kitambusho mwananchi anapotaka huduma.
 
Niwazo zuri zile tozo wazihamishie huko
 
Bima ya Afya kwa wote ili V8 zisinunuliwe? Chezeya kulamba asali weye!. Ni kitu kisichowezekana kwa wabongo, kila mtu apambanie mechi zake
 
bima kwa wote ni jambo lisilowezekana katika nchi masikini kama Tanzania..hyo bima ya watu wachache tu inaenda kufa .
bongo watu wagonjwa sana sema hawanapesa za matibabu wauchuna tu .mfano tanganza leo natoa vipimo bure vya magonjwa mbalimbali na matibabu naafafu uone mtiti wake kama utapata ata pa kupita ...kuna kipindi makonda alisemaga kuna vipimo bure lakin alishindwa ...
 
Kuliko bima Bora madiwani wanunuliwe v9 mpya za kukagua na kuzindua miradi ya kimkakati kwenye Kata.
 
Tatizo watanzania Elimu hawana
Hivyo hiyo bima itapata Changamoto sana
 
Back
Top Bottom