Kavulata! Naungana na wewe!Uchumi, mila, dini, desturi na huduma zetu za afya haviruhusu kutoa Bima ya afya kwa wote.
Uchumi wetu: Wananchi hawana pesa ya kulipia ugonjwa ambao haujatokea wakati Kuna shida Leo inayoshindikana kutatuliwa kwa ukosefu wa pesa.
Dini na Mila: mtu mmoja ana wake na watoto wengi sana kuliko idadi inayotakiwa na bima. Mke yupi atibiwe na nani aachwe? Watoto wepi wasitibiwe?
Huduma za afya: Watu wakiwa na bima wanahamasika wengi kwenda kutibiwa hata kwa ugonjwa kidogo sana ili hela yake isipotee bure. Je, tunao watumishi wa afya wa kutosha kuhudumia ongezeko hilo? Vifaa je? Wodi je? Dawa je?
Tabia za maskini: maskini wanaugua sana kutokana na uwezo mdogo wa kufuata kanuni za afya. Kila siku watakwenda hospital.
Hata mataifa makubwa yameshindwa kutoa Bima ya afya kwa wote sembuse sisi?
Huduma zitakuwa hovyohovyo kabisa.
Uchumi, mila, dini, desturi na huduma zetu za afya haviruhusu kutoa Bima ya afya kwa wote.
Uchumi wetu: Wananchi hawana pesa ya kulipia ugonjwa ambao haujatokea wakati Kuna shida Leo inayoshindikana kutatuliwa kwa ukosefu wa pesa.
Dini na Mila: mtu mmoja ana wake na watoto wengi sana kuliko idadi inayotakiwa na bima. Mke yupi atibiwe na nani aachwe? Watoto wepi wasitibiwe?
Huduma za afya: Watu wakiwa na bima wanahamasika wengi kwenda kutibiwa hata kwa ugonjwa kidogo sana ili hela yake isipotee bure. Je, tunao watumishi wa afya wa kutosha kuhudumia ongezeko hilo? Vifaa je? Wodi je? Dawa je?
Tabia za maskini: maskini wanaugua sana kutokana na uwezo mdogo wa kufuata kanuni za afya. Kila siku watakwenda hospital.
Hata mataifa makubwa yameshindwa kutoa Bima ya afya kwa wote sembuse sisi?
Huduma zitakuwa hovyohovyo kabisa.
Ondoa negative energy yako katika maendeleo ya nchi yetu walahi [emoji2959]
Nafumba mdomo wako na chochote utakacho nena au kuwaza kisitokee kabisa shindwa na ulegee walahi!
Bima ya afya kwa wote lazima iwepo, nyie wakosoaji na wajinga wachache hamuwezi kukwamisha, mnataka watu waendelee kufa kwa marelia kwa kukosa fedha za matibabuKama mlijipanga kupata fedha za kununulia maVX na kujichotea pesa za wajinga, basi mjue mmechemsha.
Bima ya afya kwa wote lazima iwepo, nyie wakosoaji na wajinga wachache hamuwezi kukwamisha, mnataka watu waendelee kufa kwa marelia kwa kukosa fedha za matibabu
Unaelewa maana ya Bima?Nimefuatilia namna ya utekelezaji wa zoezi hili ulivyopangwa kutekelezwa,naamini mafanikio yatakuepo japo hitafikiwa 100% kama hivyo inavyoitwa "bima ya afya kwa wote".
Kama ambavyo unavyoona sasa kwamba huwezi pata line ya simu bila ya namba ya nida Basi na kwa issue ya bima ya afya itakuwa hivyo kwa baadhi ya mambo fulani;
Mfano huwezi pata leseni ya biashara ama leseni ya udereva ama kusajiriwa chuo chochote pasipo bima ya afya.Hapa utaona ya kwamba kwa muundo huu lazima wataongeza idadi ya watu wenye bima ya afya hili ndilo lengo.Watu wakifikiwa wengi hata kiwango chakuchangia nacho kitashuka.
Ulipolala wewe leo wenzako ndipo walipoamkia jana,wanafahamu fika nchi hii watu wake ni masikini na hakuna atakae kamatwa eti kwa sababu hana bima ya afya.
Kupitia makundi fulani kubanwa,na kwakuwa kila mnufaika atakuwa na wategemezi kadhaa,hawa masikini wengi nao watakua sehemu ya wanufaika kupitia ndugu zao waliolipa bima.
Kimsingi ukitizama kwa undani utagundua wanachokitafuta serikali ni kuongeza nguvu/pesa kwenye mfuko wa bima ya afya ya taifa ili usifilisike, na si watu wote kuwa na bima kama wengi wanavyodhani,japokuwa kama ikitokea watu wote wamekuwa na bima basi kwa serikali itakua bora pia.
Natumai nimeeleweka japo umfuko ukishatuna wanatabia yakuhamisha pesa kwenda kwenye matumizi mengine ,
Asante.
Hawa ni wapumbavu Sana, hata Ulaya kuna nchi wameshindwa kitu hiki, sasa maccm mataahira wanadanganya watz; pumbavu Sana, siasa za maji taka, takataka kabisa!Uchumi, mila, dini, desturi na huduma zetu za afya haviruhusu kutoa Bima ya afya kwa wote.
Uchumi wetu: Wananchi hawana pesa ya kulipia ugonjwa ambao haujatokea wakati Kuna shida Leo inayoshindikana kutatuliwa kwa ukosefu wa pesa.
Dini na Mila: mtu mmoja ana wake na watoto wengi sana kuliko idadi inayotakiwa na bima. Mke yupi atibiwe na nani aachwe? Watoto wepi wasitibiwe?
Huduma za afya: Watu wakiwa na bima wanahamasika wengi kwenda kutibiwa hata kwa ugonjwa kidogo sana ili hela yake isipotee bure. Je, tunao watumishi wa afya wa kutosha kuhudumia ongezeko hilo? Vifaa je? Wodi je? Dawa je?
Tabia za maskini: maskini wanaugua sana kutokana na uwezo mdogo wa kufuata kanuni za afya. Kila siku watakwenda hospital.
Hata mataifa makubwa yameshindwa kutoa Bima ya afya kwa wote sembuse sisi?
Huduma zitakuwa hovyohovyo kabisa.
Ndio kwanza naisikia kwako tangu nizaliwe sijawahi kuisikia kabla mkuuUnaelewa maana ya Bima?
Tuanzie hapo
HayaNdio kwanza naisikia kwako tangu nizaliwe sijawahi kuisikia kabla mkuu
Hili haliwezekani. Na ndicho anachokiongelea mleta mada.Kimsingi ukitizama kwa undani utagundua wanachokitafuta serikali ni kuongeza nguvu/pesa kwenye mfuko wa bima ya afya ya taifa ili usifilisike, na si watu wote