Billionea Davis Mosha

Billionea Davis Mosha

lemutus kishaliweka mbna tangu jana inst
 
Attachments

  • 1430573886101.jpg
    1430573886101.jpg
    72 KB · Views: 1,051
Habari Za Muda Wana Jf Nina Habari Nimezisikia Chini Ya Kapeni Kuwa Bwana Mkubwa C.E.O Wa Dellina Mr Davis Mosha Amenunua Gari Aina Bugati? Je Ni Za Kweli Maana Huyu Bwana Mkubwa Kwa Magari Ya Nadhani Anaongoza

Naona bado mgeni humu jamvini hebu peleka hizi habari MMU utawakuta wenzio huko.
 
Alafu October tunachagua Serikali mpya mwambie kuwa hizi mbwembwe zitakuwepo mpaka October 2016?
Hata akinunua ndege, sisi yatuhusu nini kama bado Watanzania wengi (pengine wakiwepo baadhi ya ndugu zake yeye mwenyewe) wanaishi katika lindi la umasikini? Yanayotuhusu sisi Watanzania hatuyasemi, yanayowahusu watu binafsi ndo tuyavumishayo vijiweni!
 
mim mbona ninalo hamsemi?sasa nin unafaidika
nikiwa nalo?
 
Hahahaha Hamna Bruh.. Nimezickia Kwenye Kijewe Cha Kahawa

Ungeeleza jinsia yako, ingewasaidia sana wambea wenzako kuwapa muongozo wa namna ya kuchangia huu umbea wako.
 
Habari Za Muda Wana Jf Nina Habari Nimezisikia Chini Ya Kapeni Kuwa Bwana Mkubwa C.E.O Wa Dellina Mr Davis Mosha Amenunua Gari Aina Bugati? Je Ni Za Kweli Maana Huyu Bwana Mkubwa Kwa Magari Ya Nadhani Anaongoza

Mpigie cmu bro wake anaitwa le mbululazzz atakupa majibu mana ndio mpambe wke hpa tz,kuhusu bugati hiyo stori y kwenye kahawa kweli mana bei y buggati cjui kma unaifahamu
 
Gari liko mwake sana ila tatizo na hizi barabara zetu huko karikoo na msimbazi usiombe uwe umelipaki mjini then mvua ya kufa mtu ikamwagika..duuuh ni shida itabidi uliache mjini upande daladala...ni wazo tuu.
 
Hili gari analo yapata miaka mitatu sasa, alikuwa akija nalo kusali kanisani KKKT Mbezi beach.

Na Thead kama hii iliwekwa Celebrity forum tangu mwaka Jana.
 
Hili gari analo yapata miaka mitatu sasa, alikuwa akija nalo kusali kanisani KKKT Mbezi beach.

Na Thead kama hii iliwekwa Celebrity forum tangu mwaka Jana.

Ila hilo la kwenye picha sio bughat ni lamborghini
 
Back
Top Bottom