chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,367
- 27,773
Ila hilo la kwenye picha sio bughat ni lamborghini
Ndiyo mkuu.
Ila hilo la kwenye picha sio bughat ni lamborghini
Habari Za Muda Wana Jf Nina Habari Nimezisikia Chini Ya Kapeni Kuwa Bwana Mkubwa C.E.O Wa Dellina Mr Davis Mosha Amenunua Gari Aina Bugati? Je Ni Za Kweli Maana Huyu Bwana Mkubwa Kwa Magari Ya Nadhani Anaongoza
Acha umbea dogolasi
Hata akinunua ndege, sisi yatuhusu nini kama bado Watanzania wengi (pengine wakiwepo baadhi ya ndugu zake yeye mwenyewe) wanaishi katika lindi la umasikini? Yanayotuhusu sisi Watanzania hatuyasemi, yanayowahusu watu binafsi ndo tuyavumishayo vijiweni!
We achana na hayo makitu tujadili shemeji anatuachaje...
Hata akinunua ndege, sisi yatuhusu nini kama bado Watanzania wengi (pengine wakiwepo baadhi ya ndugu zake yeye mwenyewe) wanaishi katika lindi la umasikini? Yanayotuhusu sisi Watanzania hatuyasemi, yanayowahusu watu binafsi ndo tuyavumishayo vijiweni!
Mkuu Filipo,
Acha nikuunge mkono tu ndugu yangu. Ungejua kuwa aendapo nyumbani anapita barabara isiyopitika ungejinyamazia tu. Miye huwa nawashangaa hawa wachaga wenye vitambi wakati kwao hakuendeki, kweli ana kajumba kake kazuri lakini jumba bila njia ya kwenda huko ni faida gani? Hapo mbele ya uso wa nyumba tu kuna kashule kake alikosomea Elim ya msingi, watoto wanachezea mpira kwenye mteremko wa ajabu. Kama umeshindwa hata kulipia greda liwatengenezee watoto wako uanja tena walio nao, kama umeshindwa kuweka kalami barabara yako unayo itumia kwenda nyumbani kama nusu km huku unajiita bilionea, sijui ubilionea ni wa tarakimu au nini.
Hongera zake lakini atumie baadhi ya hizo njuluku atengeneze sifa kwao wamjue si darisalama kule Yanga
Huyu jamaaa nawanyonya sana wafanyakaz wake hasa madereva, mshahara anawalipa tr 17-23 sasa nn fahar yake?
Kwa hiyo kama watu wengine ni masikini ndo mtu asifanye yake? Mbona fikra za kimaskini hizi jamaanguHata akinunua ndege, sisi yatuhusu nini kama bado Watanzania wengi (pengine wakiwepo baadhi ya ndugu zake yeye mwenyewe) wanaishi katika lindi la umasikini? Yanayotuhusu sisi Watanzania hatuyasemi, yanayowahusu watu binafsi ndo tuyavumishayo vijiweni!
Kule YANGA sports club alikimbia Mizinga ya Wanachama, devis ni m-bahili sana hapendi kuwasaidia wengine wala ndugu.
Bugatti mpya ni $3,000,000.00 x 2000 = 6,000,000,000/=
![]()
Habari Za Muda Wana Jf Nina Habari Nimezisikia Chini Ya Kapeni Kuwa Bwana Mkubwa C.E.O Wa Dellina Mr Davis Mosha Amenunua Gari Aina Bugati? Je Ni Za Kweli Maana Huyu Bwana Mkubwa Kwa Magari Ya Nadhani Anaongoza
anaendeshea uani kwake!Sasa hiki kigari mtu unaendeshaje.....barabara gani
Sasa hiki kigari mtu unaendeshaje.....barabara gani