Mkusaro2015
Member
- May 4, 2015
- 14
- 1
Duh!!kaazi kwelikweli.Hongera kaka.
kidoogo umeona mbali.hata akinunua ndege, sisi yatuhusu nini kama bado watanzania wengi (pengine wakiwepo baadhi ya ndugu zake yeye mwenyewe) wanaishi katika lindi la umasikini? Yanayotuhusu sisi watanzania hatuyasemi, yanayowahusu watu binafsi ndo tuyavumishayo vijiweni!
Hata niwe na mawe kama Bill Gates sinunui hichi kidude....kuna mandinga kibao ya maana.
Sana tu...mimi ukiniwekea vogue na hicho nachkua vogue
![]()
Aaaaahahaa bongo hamna barabara za kuendeshea gari kama hili,hivi vitu vya mamtoni tu unakua na mupenzi mnatoka out au kwenye ufukwe vile barabara zilijengwa kwa kiwango - lami plus zege barabara haina mabonde kama hio morogoro road....Sasa hiki kigari mtu unaendeshaje.....barabara gani
Nikweli lakini hayatuhusuAaaaahahaa bongo hamna barabara za kuendeshea gari kama hili,hivi vitu vya mamtoni tu unakua na mupenzi mnatoka out au kwenye ufukwe vile barabara zilijengwa kwa kiwango - lami plus zege barabara haina mabonde kama hio morogoro road....
ANGALIZO:kuna magari mengine ukinunua bongo ni kujitesa tu kwa barabara hizi zisizo na viwango ni majanga imagine mvua ikinyesha haka kagari hakatoki teehteeh.
hahahhahahahaahahaaha....
ungemuita tu DOGO hahahah dogolasi sio jina la myu kweli