Northen Air sio ya huyu bwana ile ni kampuni ya wazungu.Northern air,northern engineering dah!! Acha waisome tu hamna jinsi,wanazunguka navogue kumbe wanaforge mpk refund za TRA!sipati picture km rais angekua mtu km naniiii........km angeweza kufumua madudu km haya!JPM abarikiwe sana
hawana undugu sema wanatoka kijiji kimoja machame na asilimia kubwa kule wanatumia hilo jina la lemaAnaundugu na lema mbunge au
kivipi bajeti haitoshi sasa wanataka kuchuku ccm wanawaonea matajiri hili wapate pesaHebu acha kujitoa ufahamu. Mara nyingine weka siasa uchwara pembeni
Anazo kama mia saba na usheheHatari sana, huyu jamaa ana landcruiser mkonge za kusambaza mafuta kwenye minara ya simu nadhani si chini ya Mia na usheee
lema ni mwizi alikuwa anahujumu uchumi kwa kutumia mashine feki za tra kukwepa kodi....anastahili kufungwaMdau makini, umedhihirisha umakini wako asee. Haiwezekani wale wakwepa kodi wakubwa walioingiza serikali hasara kubwa wakasamehewa kwa kupewa siku saba walipe madeni yao na hawa wakabanwa kiasi hiki. Hizi double standards zinatoka wapi? Its unfair.
Sitetei mkwepa kodi ila nasikitika kuona sheria yetu si msumeno wa kukata pande mbili kama wahenga walivyotuaminisha.
mpiganaji wa utapeli wa kuliibia TaifaHii ya kumiliki magari na vinginevyo havina uhusiano wowote na tuhuma za Lema.
Na hata hill la TRA ni kama balaa tu kwani kwa tunaomjua Lema ni mpiganaji wa kweli
lema amehusika na huo wizi wa kukwepa kodi hata utajiri wake ni wa mashaka na dili za kitapeli tapeli...Huyo muhasibu wake Tarimo walikuwa wanaiba wote..hawa ni wakufunga maisha iwe funzo kwa wengineIla Lema ni mpambanaji haswa, hili balaa la kukwepa kodi itakuwa bahati mbaya tu au wahasibu wake ndio wanahusika sana na wao wamelamba hela nyingi kuliko yeye maana jamaa ni darasa la saba tu elimu ndogo, mwaka juzi alifukuza kazi karibu robo tatu ya wafanyakazi wake maana walikuwa wanamuibia sana, alikuwa na muhasibu anaitwa Ta....mo jamaa alikuwa mwizi sana, ameweza kuwa na yeye na vitega uchumi kadhaa, na alikuwa mchawi kweli dili likishtukiwa watu wanasubiri tu afukuzwe ila jamaa akisafikiri akirudi tu anaitwa ofisini kwa bosi na kupewa kazi ya kuhakiki mradi mpya watu wakawa wamechoka kabisa kumweleza bosi madhaifu ya jamaa. Ila mwisho alitimuliwa tu. Sasa hivi maskini ameajiri wazungu kwenye idara nyeti ili wasimzunguke, na balaa ni balaa tu yamemfika.
Basi sawaaaNorthern AIR haina uhusiano wowote na Lema.
dahh shamba la bibi kila mtu amajipigia...ukiona hawafuatiliwi ujue kuna mkono mkubwaLema ni cha mtoto kwa mafisadi wa makontena na geji ya mafuta.
Northern air,northern engineering dah!! Acha waisome tu hamna jinsi,wanazunguka navogue kumbe wanaforge mpk refund za TRA!sipati picture km rais angekua mtu km naniiii........km angeweza kufumua madudu km haya!JPM abarikiwe sana[/QUOTE
kwa kweli JPM anastahili baraka zote!
MUNGU ndiyo serikali.... nitakubariki wewe na nchi yako! (kumbuka)Kweli usicheze na mungu au serikali wanakuadhiri saa yoyote
***Hikusanye??? ....Mkuu Ikusanyeserikali inabidi hikusanye pesa kwa nguvu.
swissme
DAA IPO KAZI KUWANG'OA MAFSADI KAMA WEWEswala ni kwamba serikali haina pesa sasa inabidi kuwatafuta matajiri na kuwalimbikizia kesi
swissme
walioiba Escrow?DAA IPO KAZI KUWANG'OA MAFSADI KAMA WEWE