Wewe si mzalendo, wewe una wivu wa maendeleo na watu wa kanda ya kaskazini.Mimi mzalendo bhana, siwezi kushirikiana na wezi kuliibia taifa langu milioni saba kwa dakika, halafu najisifu eti hayo ni mafanikio, huku nikilalamikia serikali haijengi nchi.
walishama wale vibudu aiseeHuyu ndio umemwona fisadi? Mbona wapo mafisadi papa kwenye chama chenu.
Munajidanganya,sasa wabongo wameamka,wakinga,wasukuma,wakurya,karibia makabila yote yana mawe ya hatareee.uchumi unamilikiwa na kanda ya kaskazini.
Mbona unahukumu kabla ya kesi yenyewe haijaanza kusikilizwa?Northern air,northern engineering dah!! Acha waisome tu hamna jinsi,wanazunguka navogue kumbe wanaforge mpk refund za TRA!sipati picture km rais angekua mtu km naniiii........km angeweza kufumua madudu km haya!JPM abarikiwe sana
Nyie mna korosho ambayo mnaiuza kienyeji. wenzako wa kaskazini wana kahawa wanayoiuza katika soko la kimataifa na kuwaingizia fedha za kigeni.Sasa unataka na wao wajisifu, kuiibia serikali yao na kwa taarifa yako wazaramo wanautajiri halali wa korosho,hebu tembelea ikwiriri.
Korosho zao la kienyeji?kila msimu korosho inasafirishwa kwenda nje. Hebu ingia gugo uone.mnaiuza kienyeji.
Mwambie huyo boya ni wivu tuu ndio unamsumbuaWewe si mzalendo, wewe una wivu wa maendeleo na watu wa kanda ya kaskazini.
Kijana pambana kupeleka maendeleo kwenu, acha wivu.
Nenda wizara ya ardhi waulize wamiliki ardhi kwa asilimia kubwa hapa nchini ni watu wa kanda gani? Jibu ni kanda ya kaskazini.Munajidanganya,sasa wabongo wameamka,wakinga,wasukuma,wakurya,karibia makabila yote yana mawe ya hatareee.
Northern air,northern engineering dah!! Acha waisome tu hamna jinsi,wanazunguka navogue kumbe wanaforge mpk refund za TRA!sipati picture km rais angekua mtu km naniiii........km angeweza kufumua madudu km haya!JPM abarikiwe sana
Wasukuma wewee, igembe nsabho.Nenda wizara ya ardhi waulize wamiliki ardhi kwa asilimia kubwa hapa nchini ni watu wa kanda gani?
Huku kondoa kiboko yenu.Nenda kwenu uulize wanaonunua mashamba ni watu wa kanda gani.
WE SEMA RAIS ANGEKUA MWENYE MVII UNAOGOPA NINI WATU KAMA HAWA WANGEENDELEA KUIBIA SERIKALI MARA MIA,MATOKEO YAKE WANANCHI WA HALI YA CHINI TUNGEUMIA VBAYA MNO.Northern air,northern engineering dah!! Acha waisome tu hamna jinsi,wanazunguka navogue kumbe wanaforge mpk refund za TRA!sipati picture km rais angekua mtu km naniiii........km angeweza kufumua madudu km haya!JPM abarikiwe sana
Ukoo mmojaAnaundugu na lema mbunge au
swala ni kwamba serikali haina pesa sasa inabidi kuwatafuta matajiri na kuwalimbikizia kesiDuh umesha pata kadi ya CCM.
Nilijuwa utarudi tu Na avatar yako iwe
swissyou
Tumeongea mengi sana kuwahusu hawa mabwana,
ila wakati wanapambana & kujinyima kuitafuta pesa tuliwaona na hatukusema kitu ila leo wamefanikiwa ndio tunaanza kuwazonga...
Kama sisi ni majasiri kwanini hatujaanza na watoto wa mkwere.?
Kama tunajisifia kwa kufanya kazi kwanini hatujamgusa Lugumi.?
Wapo wengi waliotuibia lakini kutokana na mihemko ya kisiasa tumewasahau na kuwasamehe wezi wote( )
badala yake tunabaki kuwakamata hawa waliojijengea misingi imara ya kutafuta pesa..
Ila mimi nafikiri ni chuki tu dhidi ya watu wakaskazini imetujaa kama sio hvyo kwaujasiri tusingewasamehe wakwepa kodi walioigarimu serikali ya tz akiwemo Said BAKHRESA.. na wenzie..
ila hao hawakupelekwa mahakamani wala kufungwa badala yake walipewa siku 7 kuhakikisha wameklia madeni yao..
Nasikia harufu ya Ukanda
Na mapesa yote hayo bado anakwepa ushuru, kweli binadamu haitakaa itokee tutoshekeHatari sana, huyu jamaa ana landcruiser mkonge za kusambaza mafuta kwenye minara ya simu nadhani si chini ya Mia na usheee
Lema ni ukoo wa mabilionea hata mwanza na dodoma wapo mabilionea wanaoitwa Lema.Anaundugu na lema mbunge au
Hebu acha kujitoa ufahamu. Mara nyingine weka siasa uchwara pembeniswala ni kwamba serikali haina pesa sasa inabidi kuwatafuta matajiri na kuwalimbikizia kesi
swissme
Kwa hali ya nchi yetu ilivyo hakuna mkandarasi yoyote anaeweza pewa tender yoyote bila kutoa chochote