Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
Mkuu mkonozi umenena vyema watu kama wanahitaji mabadiliko wasiogope majipu kutumbuliwa japo yanauma wavumilie tuu!mkuu anayekwepa kodi ni adui wa tanzania, huyo chenge kama anakwepa kodi, tumuumbue hapa hapa jf, sio yeye tu, yeyote yule, kodi haina chama.
Mimi nimeanza na hili jipu la kumbi za starehe, zote, sio billcanas pekee lazima ziwe na efd mashine mlangoni.lazima zitoe risiti za uuzaji vinywaji.
Kumbi zote tu mzee, dar live, mafiesta ya clouds, huko escape 1, mwanza na popote tanzania kwenye kumbi za starehe lazima kuwe na efd mlangoni, tukilipa viingilio lazima tupewe risiti
Hili swala la Clubs lazima liangaliwe na nilitegemea kuwa kumbi zote zina EFD maana niliona Club maisha mtwara wanatumia EFD kwakweli walinifurahisha sana tena sana!
Pia lazima swala la matamasha liangaliwe zaidi maana sidhani kama watu wanalipa kodi inayo stahili!
Last edited by a moderator: