habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
Wivu unakusumbua huna lolote
Weka ushahidi wa Bakhressa alivyokwepa kodi.
Wivu unakusumbua huna lolote
Hapa swala lazima lieleweke wazi kama hatoi risiti ni kosa na ni mwanya wa ukwepaji kodi maana ni ngumu kujua mapato yake halisi kabisa!Siku Watz tukiacha hizi chuki za kijinga tutafika mbali sana. Kama mtu ana nia nzuri na hii nchi, swala kama hili alitakiwa aliripotishe TRA na sio kuliripotisha JF. Baadhi ya wachangiaji wa JF watachangia kwa kuonyesha personal attack kwa mmiliki wa Club hiyo ambaye ni Mbowe lakini haitasaidia kupata hiyo kodi inayosemwa inapotea. Tuache chuki, tujenge nchi, tuwe Wazalendo!
Usikosoe kazi ya Mungu auntHuyo Makengeza afilisiwe mali zote za urithi...mshenzi mkubwa huyo...yani wananchi tunaangaika hatupati huduma kumbe halipi kodi ya biashara zake!?!😠
Mkuu sidhani kama kuna personal attack dhidi ya Mbowe watu wanacho hoji ni ukweli.Siku Watz tukiacha hizi chuki za kijinga tutafika mbali sana. Kama mtu ana nia nzuri na hii nchi, swala kama hili alitakiwa aliripotishe TRA na sio kuliripotisha JF. Baadhi ya wachangiaji wa JF watachangia kwa kuonyesha personal attack kwa mmiliki wa Club hiyo ambaye ni Mbowe lakini haitasaidia kupata hiyo kodi inayosemwa inapotea. Tuache chuki, tujenge nchi, tuwe Wazalendo!
hapana, si pesa za serikali.
NI MICHANGO YA WANA UKAWA
Mimi hawa jamaa nawashangaa kabisa nilitegemea walaani kitendo hiki cha Club bills kukwepa kodi kwa kuto toa risiti tena walitakiwa kuwa na EFD machine mlangoni kabisa!Makamanda kumekucha tena.
Si mlikuwa mnataka mabadiliko kulikoni tena.
Dr.Magufuli atanyoosha watu wengi sana.
hapana, si pesa za serikali.
NI MICHANGO YA WANA UKAWA
Mkuu huu ni uzi una ihusu Bills ya Mbowe na ukwepaji kodi kwa kuto toa risiti...kwa bakhresa kodi ni chuki ila kwa mbowe kodi ni kuwanyoosha
teh teh teh
Unafki mbaya sana
Hakika Mkuu...Karibu 89 % ya wafanyabiashara nchin wanakwepa kodi. Lazma washughulikiwe. Tuweke mahaba ya watu pembeni kodi kwanza #WhatWouldMagufuliDo
hizi id zinaficha mengi, mtu na akili zake anatukana mtu aliyeleta jambo zuri linalohitaji mjadala makini
kama mada imekugusa ielezee mada sio kumuelezea mtu! Nakereka kweli na watumwa wa fikra
kweli kabisa. MOYO UNANIUMA NIKIONA MTU HALIPI KODI,MTU HATOI RISITI. NAUMIA SANA
Utaamini tu pale vitu vikiwa hadharani. Pesa alizozisafirisha kwenda Japan, uliamini au haukuamini?
Mkuu huu ni uzi una ihusu Bills ya Mbowe na ukwepaji kodi kwa kuto toa risiti...
akina chenge wanaiba pesa zetu mnajifanya hamuoni jitahidi sana kuwa flexible.
Swali kwanza la kujiuliza wanao kwenda Club bills wakilipa kiingilio hupewa risiti? Club Bills wana EFD machine pale mlangoni? mwenzio kaenda na kanyimwa risiti una tegemea nini hapo?Kama ushahidi upo hatua zichukuliwe, kama hakuna ushahidi ushabiki hautasaidia
Mleta mada huna lolote ushakunaku umekujaa tyu! Huwezi kuwa na club katikati ya mji posta kama bilizz ukwepe kodi. Kajipange.
wana ukawa wamelalamika???