- Thread starter
- #61
mkwepaji kodi namba 1 ni ccm
tutamshika awe ccm,awe act awe ukawa.
Ukwepaji kodi ni uvunjaji wa sheria. Sheria haina chama cha siasa
mkwepaji kodi namba 1 ni ccm
Utaamini tu pale vitu vikiwa hadharani. Pesa alizozisafirisha kwenda Japan, uliamini au haukuamini?
Mkuu, wewe ukienda kunywa bar au kula kwa mama lishe unadai risiti ya TRA?
Weka ushahidi wa Bakhressa alivyokwepa kodi.kwa bakhresa kodi ni chuki ila kwa mbowe kodi ni kuwanyoosha
teh teh teh
Unafki mbaya sana
mleta mada huna lolote ushakunaku umekujaa tyu! Huwezi kuwa na club katikati ya mji posta kama bilizz ukwepe kodi. Kajipange.
tutamshika awe ccm,awe act awe ukawa.
Ukwepaji kodi ni uvunjaji wa sheria. Sheria haina chama cha siasa
Ngonjera iko wapi? Nimekueleza kwamba hawatoi risiti. Na risiti ni haki yetu walipaji wa tozo yeyote ile.
Nimeomba pia kumbi zote zichunguzwe, sio Billcanas tu.
Sasa unataka niwaambie nini TRA
Tanzania KWANZA, vikojozi baadaye
tunachotaka, watoe risiti, sio hao billcanas tu. Kumbi zote zinazotoza viingilio, lazima zitoe risiti, sio ombi. Lazima.
Risiti ni haki yetu.sio ombi
Inakuwaje mtu mwenye kiduka cha shanga kariakoo aambiwe awe na mashine ya efd halafu danguro kubwa kama hilo lisiwe na mashine za efd kwanini? tena ingewezekana wawe wanawasilisha mahesabu tra kila siku asubuhi kwa mauzo ya jana yake.
Pale kuna viingilio, vinywaji, nyama choma, malipo ya wasanii na madj haya yote hayalipiwi ushuru na kodi halafu huyu mtu tunamchekea tu. Hizi night clubs ziko ngapi nchi nzima? tunapoteza mapato kiasi gani?
kwanza kabla ya kufunguliwa NEMC walikagua kuona kama mazingira yako safi? kuna hewa ya kutosha? maji taka wanatiririsha wapi manake bar kama hiyo mikojo yeke usiombe.
hayo yote ni makosa inabidi kurekebsisha mazoea hayahalalishi haramu, .
kama ni haki yako tuonyeshe risiti uliyopewa. Kama sivyo wewe ni mhalifu. Halafu hapa siyo mahali pake wasaidie tra kwa taarifa ulizo nzo wazifanyie kazi.
Teh Teh kwakuwa kaguswa Baba wa moshi?Duh hili nalo umbea mwingi mbona wew ilipi kodi
siku watz tukiacha hizi chuki za kijinga tutafika mbali sana. Kama mtu ana nia nzuri na hii nchi, swala kama hili alitakiwa aliripotishe tra na sio kuliripotisha jf. Baadhi ya wachangiaji wa jf watachangia kwa kuonyesha personal attack kwa mmiliki wa club hiyo ambaye ni mbowe lakini haitasaidia kupata hiyo kodi inayosemwa inapotea. Tuache chuki, tujenge nchi, tuwe wazalendo!
Ni jambo jema kama pro ccm mnaanza kuwa conscious na kodiHuyo Makengeza afilisiwe mali zote za urithi...mshenzi mkubwa huyo...yani wananchi tunaangaika hatupati huduma kumbe halipi kodi ya biashara zake!?!😠
siku watz tukiacha hizi chuki za kijinga tutafika mbali sana. Kama mtu ana nia nzuri na hii nchi, swala kama hili alitakiwa aliripotishe tra na sio kuliripotisha jf. Baadhi ya wachangiaji wa jf watachangia kwa kuonyesha personal attack kwa mmiliki wa club hiyo ambaye ni mbowe lakini haitasaidia kupata hiyo kodi inayosemwa inapotea. Tuache chuki, tujenge nchi, tuwe wazalendo!
Mnakurupuka sana watu Wa CCM. Sheria ya kumbi za Disco Ni tofauti na vitu vingine tafiti kwanza.
Hizo Pesa zilikuwa za nani?
Za Serikali? Msipende kukurupuka kama kibajaji.
Wewe mkibosho mbona una kichwa kigumu hivyo? Umeambiwa kabisa kuwa watu wanatozwa pesa mlangoni bila kupewa risiti na maana yake hapo kuwa serikali haipati mapato!pathetic....eleza vizuri toa na ushaidi sio una leta ngonjera humu. toa maelezo yaliyo nyooka ili kuisaidia TRA!