Mkuu sorry utakuwa umenielewa vibaya, msimu ulioisha wa Fiesta Bill Nas na Darasa ni moja ya watu waliokonga mioyo ya wapenzi wa Hip Hop kwa vibao kama Ligi Ndogo na Chafu Pozi - Bill Nas huku Darasa akikimbiza na Kama Utanipenda na Too Much.
Baada ya Fiesta Darasa akaja na Muziki, na mimi nikawa na mawazo ya kusubiri ngoma nyingine kutoka kwa Bill Nas, sikutegemea kwamba ataufikia huu wa Darasa lakini nilitegemea iwe upgrade ya ngoma zake mbili za mwanzo ambapo kwangu ingekuwa plus.