Bill Gates alivyoshambuliwa nchini Belgium

Bill Gates alivyoshambuliwa nchini Belgium

Status
Not open for further replies.
Sijui Bill Gates ni Mungu wenu,mnajaribu kum-protect kwa njia yeyote ile.Ukweli utabaki kwamba ni mtu muovu sana,na ameua ndugu zenu wengi.Matumbo hayo yatawaponza.
Hatumtetei Wala kutetea uovu wake.

Kwa hiyo Mkuu ulitaka tukubali tu ilihali hiyo video uliyoleta kama ushahidi inaonyesha inasiku nying Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada wewe hua ni father of HOAX NEWS hapa JF,na unatakiwa upuuzwe tu.

Habari ya Feb. 5, 1998 unaileta leo.

GATES WON'T PRESS CHARGES AFTER PIE ATTACK IN BELGIUM

An Interactive Journal News Roundup

Updated Feb. 5, 1998 12:03 pm ET

Belgian police released a man and a woman who threw a cream pie in the face of Microsoft Corp. Chairman Bill Gates on Wednesday because Mr. Gates has declined to press charges.

Meanwhile, the prank's instigator, who wasn't caught, said he was thrilled at the sight of Mr. Gates standing on a Brussels sidewalk "as if bolted to the ground," wiping cream off his glasses and face. The prankster is well-known in Belgium as an "entarteur," -- someone who throws pies in famous peoples' faces as a form of harmless disrespect.

Police didn't identify the man and woman who were detained, except to say the woman lives in France and photographed the creaming. The pies were thrown at Mr. Gates as he entered an ornate hall near the center of Brussels for a meeting with Belgian computer industry and government leaders as part of a world forum this week.


Sourece:Gates Won't Press Charges After Pie Attack in Belgium
 
Unapoamua kutoa taarifa kama hizi unatakiwa kutoa taarifa iliokamilika sio kubumba tuu,Unaposema anataka kupunguza watu ili iweje?watu wakipungua duniani yeye anapata faida gani?
 
Unakuta huyo mtu yeye hakujui ila wewe unamjua


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kiswahili ni kitamu sana sijui kwanini mnakidharau.
Lugha zingine....
Nionyeshe ushahidi unao onyesha kwamba hii clip ni ya miaka kumi iliyopita!Otherwise kama kimya.Anyway,haijalishi imetokea lini,la maana ni kwamba imetokea.If it happened than,it will happen now.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hatukidharau, ila tunahitaji Kingereza pia.
 
Unapoamua kutoa taarifa kama hizi unatakiwa kutoa taarifa iliokamilika sio kubumba tuu,Unaposema anataka kupunguza watu ili iweje?watu wakipungua duniani yeye anapata faida gani?
Nategea kwamba mtu diagnostic na mpenda kujua mambo atajua taarifa kama hizo,kwa kuwa sasa ni common knowledge.Kama hujui basi kuna tatizo mahali fulani.Mtatafuniwa mpaka lini?
 
Nani kakwambia Marekani ikianguka Dunia itakuwa salama. Kuna kipindi gani Dunia imewahi kuwa salama vita vyote vilivyotea kabla ya Marekani kuwa super power mfano vita ya Kwanza ya dunia na vita ya pili ya Dunia na zingine zilizopita. Wewe kwa vyovyote vile utakuwa ni muislam Una chuki binafsi na Marekani.

Kwa taarifa yako Marekani ndio nchi inayowalisha waarabu kwahiyo Marekani ikianguka kiuchumi waarabu watakosa soko la mafuta waliyonayo. Kwanza waarabu wanaishi kwa kutumia akili ya Mzungu. Mzungu ndio aliegundua Gari na mitambo inayotumia mafuta sasa mwarabu ananufaika na technolojia za Mzungu. Hata wewe kuanzia simu unayoitumia na programs zake zilivumbuliwa na Mzungu . Nakushangaa kumchukia Mzungu . Bila Mzungu usingeweza kuandika hiki ulichokiandika
Marekani ikianguka dunia itakuwa na Aman

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bill Gates ni kati ya matajiri wenye utu sana. Habari hizi za uongo tunazookoteza hazimkatishi tamaa kujitoa. Muda huu Bill Gates awe anafanya nini Ubeljiji. Vitu vingine unahitaji uwe na akili ndogo kuviamini.
Are you serious kwamba Bill Gates ni
mtu mwema?Kweli unaamini niliyoandika kwenye bandiko language
Mtoa mada wewe hua ni father of HOAX NEWS hapa JF,na unatakiwa upuuzwe tu.

Habari ya Feb. 5, 1998 unaileta leo.

GATES WON'T PRESS CHARGES AFTER PIE ATTACK IN BELGIUM

An Interactive Journal News Roundup

Updated Feb. 5, 1998 12:03 pm ET

Belgian police released a man and a woman who threw a cream pie in the face ofMicrosoft Corp. Chairman Bill Gates on Wednesday because Mr. Gates has declined to press charges.

Meanwhile, the prank's instigator, who wasn't caught, said he was thrilled at the sight of Mr. Gates standing on a Brussels sidewalk "as if bolted to the ground," wiping cream off his glasses and face. The prankster is well-known in Belgium as an "entarteur," -- someone who throws pies in famous peoples' faces as a form of harmless disrespect.

Police didn't identify the man and woman who were detained, except to say the woman lives in France and photographed the creaming. The pies were thrown at Mr. Gates as he entered an ornate hall near the center of Brussels for a meeting with Belgian computer industry and government leaders as part of a world forum this week.


Sourece:Gates Won't Press Charges After Pie Attack in Belgium
Tetea tu, 40 yake inakuja. Hata kama ni ya zamani haikutokea? If it happened then, it will happen now, tena verociously. Mtakingia vifua waovu mpaka lini? Niko hapa JF kufunua uovu and I will do it without shame. Kama imekasirika kashtaki kwa baba yako Shetani!
 
Bill Gates ni kati ya matajiri wenye utu sana. Habari hizi za uongo tunazookoteza hazimkatishi tamaa kujitoa. Muda huu Bill Gates awe anafanya nini Ubeljiji. Vitu vingine unahitaji uwe na akili ndogo kuviamini.
[emoji3][emoji3][emoji3] matajiri wenye utu sana.
Mfatilie huyu mwamba utageuza kauli yako
 
Are you serious kwamba Bill Gates ni
mtu mwema?Kweli unaamini niliyoandika kwenye bandiko language

Tetea tu,40 yake inakuja.Hata kama ni ya zamani haikutokea?If it happened then,it will happen now,tena verociously.Mtakingia vifua waovu mpaka lini?Niko hapa JF kufunua uovu and I will do it without shame.Kama imekasirika kashtaki kwa baba yako Shetani!
Wewe ni MWONGO na ni FATHER OF HOAX NEWS hapa JF.
 
Pumbavu. Mimi nimejibu mwaka hilo tukio lilipotokea. Kosa langu liko wapi hapo? Ungekuwa karibu ningekuzaba vibao lofa mkubwa weye.
Hivi huoni kwamba huko ni kulifanya bandiko lisiwe credible. Jambo la msingi hapa ni kwamba tulio limetokea na kaaibika kwa sababu ya uovu wake. Na kama lilitokea wakati huo litatokea sawa,kwa kuwa watu wana hasira zaidi na yeye.
 
areafiftyone,
Uwe unachambua video na kujua tukio lilitokea miaka mingapi iliyopita, unatuletea habari ya miaka zaidi ya miaka 20 iliyopita ili tujue kuwa ulichelewa kumiliki smartphone?
 
Acha UONGO. Hivi mnajisikiaje mnavyoongopa hivi? Inawapa raha gani? Bill Gates huyo wa miaka 30 na kitu unamlinganisha na Bill Gtaes wa leo miaka karibu 70? Katika watu wanaotumia utajiri wao vizuri ni Bill Gates. Angeweza kukaa kimya kama matajiri wengine na kutumia pesa zake kwa familia yake lakini ameamua kuwa tofauti kwa kusaidia masikini kwa njia mbalimbali. Ama kweli shukurani za punda ni mateke.
Fuata hii link uone uovu wake mkuu,he is such an evil man.

 
Uwe unachambua video na kujua tukio lilitokea miaka mingapi iliyopita, unatuletea habari ya miaka zaidi ya miaka 20 iliyopita ili tujue kuwa ulichelewa kumiliki smartphone?
Haijalishi ilitokea lini, la maana ni kwamba ilitokea na aliaibishwa kwa ajili ya uovu wake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom